Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Sasa Dodoma kuna nini? Mawaziri wote wako DSM, wakiwa Dodoma ni kipindi cha Bunge au shughuli za awareness . Yeye mwenyewe Jiwe yuko Chatto ni juma la saba toka amekwenda. Akirudi atakuja DSM, huwa anakwenda Dodoma kukiwa kuna mikutano ya kimkakati ya CCM na Bunge.Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Kule mji wa Serikali wa Mtumba Mawaziri wamejenga ofisi lakini huwakuti ukiwa na shida kama wako Dodoma. Sana sana utawakuta kwenye Ofisi za mjini Dodoma ambazo bado wana maintain. Wanakwenda Mtumba siku wakiambiwa Jiwe yuko Dodoma.
Hii ndiyo reality kuhamia DODOMA ni kati ya misuse ya fedha za walipa kodi kwa hali ya juu. Na mark hii post yangu leo, Rais ajaye hata kama atatoka CCM atarudisha Ikulu Dar Es Salaam.