KERO Kampuni ya Kambele Investment ya Arusha inauza kiwanja kimoja kwa wateja wawili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake.

Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili ili ukweli ujulikane na haki ya kila mhusika ipatikane.

Mtu wa kwanza aliuziwa Mei 2023
Mwingine akauziwa Oktoba 2023.
Mkataba ya mauzo ipo.
Barua ya mtendaji ipo.
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 7
Huyu ni tapeli mbobevu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…