Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

Huyo ni wristle brower, tusimzalau. DP World nayo ilianza hivi, tusizalau, jamaa anaonrkana anajua anachokieleza, nimemuelewa vzr sana. Tanzania sio shamba la bibi, wageni waje kuchuma na kuondoka.

Hiyo tahadhali vzr ichukuliwe, hayo makampuni yenye unasaba na nchi za Africa Magharibi ni wapigaji. Hivi nchi ina Audit firms zaidi ya 200 registered na NBAA, iweje una engage foreign Audit firm bila sheria za manunuzi ya huduma kufuatwa. CDR ni jambo la siri, watu wanakagua mpk cm za mama kwa watendaji wake. Iko wap xax siri ya utaifa wetu kama nchi, wajui wakenya then waghana!!!

Haya ni madai serious, taasisi usika lazima zifanyie kazi. Sio jambo la kuchukulia kisiasa.
 
Muda mwingine wakati mnamtetea au mnamweka mbali huyu mwanamke na hizi scandals mnaishia kutengeneza picha kama ni zezeta au mjinga haiwezikani kila jambo anadanganywa na kupotoshwa. Ni kiongozi gani kutwa anazidiwa ujanja na vijana wake.
Kwa sauti ya Lissu........ "Hili ni lake, si la wasaidizi wake...."!!!
 
wacha kumtumia Magufuli kama SI ya kujua kampuni tapeli na isiyo tapeli. Mbona yeye mwenyewe aliletewa kampuni toka Kenya ya kununua korosho iliyoitwa Indo Power Solution. Tapeli wa Kenya alikuw Brown Mtembei na kwa upande wa Tanzania wote akina kabudi, Bashungwa na Kakunda na Luoga walishuhudia na kuaini mkataba
 
JPM hakua Mungu , reference ni kuonyesha kua kampuni hio imeshakua vetted na kuonekana sio
 
Hoja yako inaweza kuwa na mashiko hisipokuwa inaonyesha wazi ujio wa hii kampuni unatishia maslahi yako binafsi kutokana na jinsi ulivyowasilisha.

Si kweli kwamba kila kitu kilichokataliwa na JPM kilikuwa kibaya na kwamba Rais Samia kila wakati anadanganywa. Sijuhi kuhusu hii kampuni, lakini kuwepo kwa wakaguzi wa ndani hakuzuii wakaguzi wa nje pale serikali inapoona kuna uhitaji wa kufanya hivyo.
 
Umefanya vizuri kwa ku 'blow the whistle' hatujapigwa tena na kitu kizito. Ikidhibitika hayo uliyoyasema ni ya kweli, hao mawaziri waliohusika na dili hili akiwamo waziri wa fedha inabidi waachie ngazi. La sivyo bunge letu litakinukisha pale mbunge kama Mpina atakapisimama kidete akiwa na ushahidi kamili wa dili hilo.
 
" Watanzania mtanikumbuka,na mtanikumbuka kwa mazuri na kwa mabaya kwasababu nimesacrifice kwa wananchi masikini "
 
Nimeweka hoja hapa ,nina aamini watu wanaakili timamu ,watafanya upekuzi wa hii kampuni na watafanya maamuzi sahihi, argument yako naipokea ,jambo la muhimu ujumbe umefika na wahusika wanajua
 
Moja ya kanuni yangu ni kutosema uongo , nilichokisema kipo wazi na wakifanya uchunguzi watayaona ninayoyasema haya.
Najua watachukia sana ,hasa mawaziri ambazo wameweka nguvu kwenye hili lakini Nimesema watanzania lazima wajue hata wakiamua kuichukua hio kampuni
 
The beautiful one is not yet born
Mtu msafi ndani ya ccm hajazaliwa bado
Mimi bado naamini taasisi ya uraisi inajukumu la kumlinda Rais na siasa chafu kama za hii kampuni ya kikenya ,10% ya mawaziri itateketeza taifa na kumcost rais 2025
 
Kwa hiyo kisisemwe kitu kwa sababu wewe ni samia?
 
Mkuu ingekuwa sahihi zaidi ungeorodhesha kampuni makini za kitanzania ambazo zina uwezo wa kufanya kazi hiyo. Vinginevyo malalamiko yapo too general with personal hatred!
 
👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…