Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

JPM hakua Mungu , reference ni kuonyesha kua kampuni hio imeshakua vetted na kuonekana sio
Yeye Magufuli alifikiri ni mungu kwa mujibu wa akina Kabudi, Aggrey Mwanri na Sheikh Alhad wa Bakwata Dar. Ndiyo maana alikuwa anaua wanaomkwaza
 
Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania

Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya
Wametapeli Ghana na sasa wameingizwa Tanzania , kwa nini sisi watanzania ni wajinga namna hii?
Kwa nini serikali yetu kuna watu hawafikiriii?
kwa nini viongozi wetu wanawaza 10% tu?

Kampuni hii inayomilikiwa na Mbunge wa Kenya aitwaye Andrew Chege
ili wahi kuletwa na wanasiasa na JPM akaikataa
Ni kampuni yenye historia za kitapeli (Hewa)
Inajitangaza kuwa iko sponsored na IMF ,USAID ,World Bank na makao makuu yake inasema yako UK(Uingereza)
Taarifa za kiuchunguzi kipindi cha JPM ziliobaini kuwa kampuni hio haina mafungamano na World Bank ,IMF wala USAID bali hutumia mwamvuli huo kupata tender

Kampuni hio ambayo baadhi ya wana siasa wa Tanzania wana hisa kupitia kwa mwanasiasa mwanzilishi aitwaye Andrew Chege (Mbunge wa Kenya) Imerudi tena
Maafisa kadhaa wa Ikulu na baadhi ya waandamizi wa wizara ya fedha tayari wameshaingia makubaliano ya awali kuileta kampuni hio kuja kufanya auditing kwenye makampuni mbali mbali na watalipwa fedha nyingi sana za walipa kodi wa Tanzania

Kampuni hio itapewa tenda ya kufanya auditing ya kampuni nyingi zikiwemo kampuni za simu (vodacom, Honora/Tigo, Airtel etc), pia TRA itafanyiwa auding na makampuni mengine yanayotakiwa kulipa kodi mbalimbali, lengo ni kutaka kuona kama kuna mianya ya kodi kwenye makampuni hayo
Swali langu la msingi

1. CAG hua anafanya ukaguzi ambao haujitoshelezi mpaka iletwe kampuni toka Kenya?

2. Internal auditors na external auditors wa kampuni zilizo nchini hazikufaa mpaka ikatafutwa kampuni ya Safaritech toke kenya?

3. Makampuni ya simu ya Call detailed records(CDR) , tunaruhusu kampuni ya kenya ije ishike taarifa za siri za watanzania?

Yaani kampuni ya mwana siasa wa kenya ije iangalie CDR za simu za watanzania?
Kumbuka CDR zinaonyesha wewe umepiga simu wapi,kwa nani ,ukiwa wapi na taarifa nyingine nyingi za siri
4.Kwa nini JPM alikataa wakenya kuja na kufikia taarifa za siri za watanzania lakini serikali hii inaruhusu sasa?

Ghana kuna kampuni dada ya safari tech , walienda kukagua MTN Ghana , na kwa sababu walikua wanalipwa asilimia ya kodi iliyokwepwa wanayoigundua , walibambikia kampuni ya ghana ukwepaji wa kodi wa Billion 8 USD ili walipwe 30% ya pesa hio.

Kwa Tanzania, kampuni za simu jiandaeni kubambikiwa madeni ili hawa mabwana wapate cha juu.

Kwa kua suala la kampuni hii lina masilahi na wanasiasa kadhaa wa Tanzania ,ambao wameidanganya Ikulu na ikulu kuruhusu Kampuni hio iongee na wizara vya fedha , watu wa usalama wa Taifa na vyombo vya ulinzi na usalama wafanye special vetting ya wanasiasa wote waliohusika kuingiza nchini kampuni hii.

Pia Kampuni ya nchi jirani ambayo ni washindani wa nchi yetu ,kuruhusiwa kugusa taarifa za siri za watanzania ni hatari sana, tunauza taarifa za nchi kwa taifa jirani chini ya kampuni hewa isiyo na uwezo wa kufanya auditing.

Nawawekea reference za mmiliki wa kampuni hio Andrew Chege (Mbunge wa Kenya)

Nawawekea kasheshe walioisababisha Ghana kwa kufanya audit fake

1.https://commsrisk.com/ghana-tax-authority-defends-appointment-of-dodgy-telco-revenue-assurance-auditors/
2.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
3.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
4.https://theindependentghana.com/gra-denies-contract-with-safaritech-uk/
5.https://starrfm.com.gh/2023/07/pac-demands-details-of-engagement-between-gra-auditing-firm-safaritech/?amp=1

Nisiwachoshe sana, niwaambie tu kwamba Nchi hii imepitia kampuni janja na zenye mikono ya wanasiasa wenye nguvu kama IPTL na nyingine nyingina sasan mnaletewa kampuni itakayolitwa Billions of TZS kodi za watanzania ambazo wanasiasa wetu wanaenda kuzichukulia Kenya

Mawaziri wanaohusika na hii kampuni wameidanganya Ikulu na sasa wanataka kumwingiza Rais Samia kwenye scandal nyingine kubwa sana ambayo inaweza kumgharimu 2025

UPDATE
Website ya safaritech imeondolewa hewani baada ya taarifa hii

View attachment 2843149
Vizuri sana kwa kuweka kumbu kumbu sawa!
 
TANZANIA SHOULD AWAKE AND REFUSE THAT DUDE, BULLSHITY!
 
Sasa ndio nimeelewa kwanini Ruto amesema watu waingie kiholela kwao
Kumbe wamejiandaa kipokea wawekezaji kutoka Tz kwa hela zetu eee

Sijui nawazaga nini mimi yaani kama nabeha bangi vile
 
Nimekaa pale huu uwekezaji usiporudisha mambo ya hovyo mniite .........*****

Huu uwekezaji holela unanikumkumbusha jinsi Mashirika ya Umma yalivyouzwa kiholela kwa kigezo kuwa yalikuwa mzigo ili hali leo Samia anapokea mabillioni kutoka mashirika ya umma kusaidia waathirika wa mafuriko!!
Tujifunze kutoka maamuzi ya huko nyuma kwani experience is the best teacher!
Haingii akilini kuleta AUDITING firm kutoka nje ya nchi wakati tuna watu hapa nchini wanaoweza kufanya kazi hiyo.
Mama Abdul vijana wako wanakuzunguka kwani wamegundua ulipo uchochoro.
 
Hoja yako inaweza kuwa na mashiko hisipokuwa inaonyesha wazi ujio wa hii kampuni unatishia maslahi yako binafsi kutokana na jinsi ulivyowasilisha.

Si kweli kwamba kila kitu kilichokataliwa na JPM kilikuwa kibaya na kwamba Rais Samia kila wakati anadanganywa. Sijuhi kuhusu hii kampuni, lakini kuwepo kwa wakaguzi wa ndani hakuzuii wakaguzi wa nje pale serikali inapoona kuna uhitaji wa kufanya hivyo.
maslahi binafsi na maslahi ya taifa hayawezi kwenda pamoja? Mwekezaji binafsi ambaye anawekeza dolla millioni 60 Tanzania,kwa mfano, uwekezaji ambao faida yake itaanza kupatikana baada ya miaka 8.Je hawezi kuwa na hamasa ya kuitakia Tanzania amani na utulivu ili hatimaye ndoto yake ya kupata faida kwenye uwekezaji itimie?
 
Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania

Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya
Wametapeli Ghana na sasa wameingizwa Tanzania , kwa nini sisi watanzania ni wajinga namna hii?
Kwa nini serikali yetu kuna watu hawafikiriii?
kwa nini viongozi wetu wanawaza 10% tu?

Kampuni hii inayomilikiwa na Mbunge wa Kenya aitwaye Andrew Chege
ili wahi kuletwa na wanasiasa na JPM akaikataa
Ni kampuni yenye historia za kitapeli (Hewa)
Inajitangaza kuwa iko sponsored na IMF ,USAID ,World Bank na makao makuu yake inasema yako UK(Uingereza)
Taarifa za kiuchunguzi kipindi cha JPM ziliobaini kuwa kampuni hio haina mafungamano na World Bank ,IMF wala USAID bali hutumia mwamvuli huo kupata tender

Kampuni hio ambayo baadhi ya wana siasa wa Tanzania wana hisa kupitia kwa mwanasiasa mwanzilishi aitwaye Andrew Chege (Mbunge wa Kenya) Imerudi tena
Maafisa kadhaa wa Ikulu na baadhi ya waandamizi wa wizara ya fedha tayari wameshaingia makubaliano ya awali kuileta kampuni hio kuja kufanya auditing kwenye makampuni mbali mbali na watalipwa fedha nyingi sana za walipa kodi wa Tanzania

Kampuni hio itapewa tenda ya kufanya auditing ya kampuni nyingi zikiwemo kampuni za simu (vodacom, Honora/Tigo, Airtel etc), pia TRA itafanyiwa auding na makampuni mengine yanayotakiwa kulipa kodi mbalimbali, lengo ni kutaka kuona kama kuna mianya ya kodi kwenye makampuni hayo
Swali langu la msingi

1. CAG hua anafanya ukaguzi ambao haujitoshelezi mpaka iletwe kampuni toka Kenya?

2. Internal auditors na external auditors wa kampuni zilizo nchini hazikufaa mpaka ikatafutwa kampuni ya Safaritech toke kenya?

3. Makampuni ya simu ya Call detailed records(CDR) , tunaruhusu kampuni ya kenya ije ishike taarifa za siri za watanzania?

Yaani kampuni ya mwana siasa wa kenya ije iangalie CDR za simu za watanzania?
Kumbuka CDR zinaonyesha wewe umepiga simu wapi,kwa nani ,ukiwa wapi na taarifa nyingine nyingi za siri
4.Kwa nini JPM alikataa wakenya kuja na kufikia taarifa za siri za watanzania lakini serikali hii inaruhusu sasa?

Ghana kuna kampuni dada ya safari tech , walienda kukagua MTN Ghana , na kwa sababu walikua wanalipwa asilimia ya kodi iliyokwepwa wanayoigundua , walibambikia kampuni ya ghana ukwepaji wa kodi wa Billion 8 USD ili walipwe 30% ya pesa hio.

Kwa Tanzania, kampuni za simu jiandaeni kubambikiwa madeni ili hawa mabwana wapate cha juu.

Kwa kua suala la kampuni hii lina masilahi na wanasiasa kadhaa wa Tanzania ,ambao wameidanganya Ikulu na ikulu kuruhusu Kampuni hio iongee na wizara vya fedha , watu wa usalama wa Taifa na vyombo vya ulinzi na usalama wafanye special vetting ya wanasiasa wote waliohusika kuingiza nchini kampuni hii.

Pia Kampuni ya nchi jirani ambayo ni washindani wa nchi yetu ,kuruhusiwa kugusa taarifa za siri za watanzania ni hatari sana, tunauza taarifa za nchi kwa taifa jirani chini ya kampuni hewa isiyo na uwezo wa kufanya auditing.

Nawawekea reference za mmiliki wa kampuni hio Andrew Chege (Mbunge wa Kenya)

Nawawekea kasheshe walioisababisha Ghana kwa kufanya audit fake

1.https://commsrisk.com/ghana-tax-authority-defends-appointment-of-dodgy-telco-revenue-assurance-auditors/
2.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
3.https://www.techfocus24.com/mtns-ghs8-billion-tax-gra-ditched-kpmg-for-imf-agent-safaritech/
4.https://theindependentghana.com/gra-denies-contract-with-safaritech-uk/
5.https://starrfm.com.gh/2023/07/pac-demands-details-of-engagement-between-gra-auditing-firm-safaritech/?amp=1

Nisiwachoshe sana, niwaambie tu kwamba Nchi hii imepitia kampuni janja na zenye mikono ya wanasiasa wenye nguvu kama IPTL na nyingine nyingina sasan mnaletewa kampuni itakayolitwa Billions of TZS kodi za watanzania ambazo wanasiasa wetu wanaenda kuzichukulia Kenya

Mawaziri wanaohusika na hii kampuni wameidanganya Ikulu na sasa wanataka kumwingiza Rais Samia kwenye scandal nyingine kubwa sana ambayo inaweza kumgharimu 2025

UPDATE
Website ya safaritech imeondolewa hewani baada ya taarifa hii

View attachment 2843149
Mwendazake aliokataa Kwa sababu zake binafsi za chuki na Kenya kama alivyomfukuza yule CEO wa Vodacom.

Kampuni binafsi kufanya kazi za auding kuna Utapeli upi hapo? Leta kampuni Yako yenye uwezo tuipe kazi badala ya kuandika upuuzi.
 
Wewe unaongea ujinga wakati ameweka evidence kuwa ni kampuni ya kitapeli? acheni chuki za kishamba

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ingekuwa sahihi zaidi ungeorodhesha kampuni makini za kitanzania ambazo zina uwezo wa kufanya kazi hiyo. Vinginevyo malalamiko yapo too general with personal hatred!
Hatuhitaji kampuni binafsi, iwe nje au za ndani. CAG na internal auditors wetu wanatosha na weledi mkubwa wa kiwango cha kimataifa.
 
Back
Top Bottom