Hilo sio kosa lake...wamemuoneaHaiwezekani, 1.47 ni kubwa sana kwa team inayoongoza 3-0.. hapo system itakuwa imechelewa kufanya update..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sio kosa lake...wamemuoneaHaiwezekani, 1.47 ni kubwa sana kwa team inayoongoza 3-0.. hapo system itakuwa imechelewa kufanya update..
Usijeneralize mambo mkuu, nyie ndio mnaharibu hii nchi, mnataka tuishi kwa assumptions ambazo hatuzijui man... Maisha hayaendeshwi na ASSUMPTIONS MAN.... mtu anafanya anafanya, kama aliekuwa anastake hajui matokeo as for the moment ingekuwaje? Walipe hela ya odds waloweka wenyewee... Si washatulipa sana... Wasengerema haoKwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Hajacash out chini umeandikia confirmed sasa kacash out nn?Ww ndo muongo umecash out hiyo hela huenda ulikuwa hujui mida ya saa mbili kasoro
Hawezi shinda kwani kabla ya mtu kuitumia kampuni yao alipewa muongozo T&C na kukubali. Na huo muongozo umeelezea changamoto zote na mojawapo ni hiyo iliyomkuta mleta mada..Jamaa yupo sahihi huo ni uzembe wao yeye hausiki...ingekuwa pesa kubwa akienda mahakamani anashinda
Hakuna kitu km icho .....katika sheriaHawezi shinda kwani kabla ya mtu kuitumia kampuni yao alipewa muongozo T&C na kukubali. Na huo muongozo umeelezea changamoto zote na mojawapo ni hiyo iliyomkuta mleta mada..
Kuna jamaa yang alikuta pesa imepungua kwenye account ghafla huku toka adeposit hakustake hii bet inawakini......hata huduma zao kwa wateja ni za mchongo hazipokelewiMkuu Meridian sidhani kama ni wezi,hebu jaribu kuangalia vigezo na masharti.
Mimi nimewahi cheza nikaweka elfu 50 Oddss 20 nikala zaiidi ya milioni 1.
Pamoja na hayo inapaswa hili suala lako walitoleee ufafanuzi kwasababu si kuwachafua wao tu bali linatukatisha tamaa na sisi tunaobeti
Hakuna kitu km icho .....katika sheria
Km ipo leta.....kwakua pesa ndogo ila ingekuwa kubwa angeshinda na huenda kuna watu wametia mzigo .......ndio utagundua watu wapo serious na hela
Siwezi kuwa taahira wa kiasi hicho, kwangu kucheza kamari ni kitendo cha aibuUshawai cheza hii michezo?
I seeSiwezi kuwa taahira wa kiasi hicho, kwangu kucheza kamari ni kitendo cha aibu
Sidhani kama huu unaweza kua wizi. Kampuni kubwa kama Meridian sidhani kama inaweza kuruhusu uaminifu wake uteteleke kwa tsh 47,000/=Je Angeliwa?? Hela isingekatwa?
Nimesema 'huenda' kwaio inawezekana kukawa na sababu nyingine. Jamaa ajaribu kuwasiliana nao aone wanasemaje. Uzuri costumer care yao ipo vizuriUsijeneralize mambo mkuu, nyie ndio mnaharibu hii nchi, mnataka tuishi kwa assumptions ambazo hatuzijui man... Maisha hayaendeshwi na ASSUMPTIONS MAN.... mtu anafanya anafanya, kama aliekuwa anastake hajui matokeo as for the moment ingekuwaje? Walipe hela ya odds waloweka wenyewee... Si washatulipa sana... Wasengerema hao
Hawajakuibia umepasuka 1 Bayern 2 Dortmund. Ndo unajifunza kubetiZaleo meridianbet bet ni wezi wamenizulumu 42300 Tshs Leo tarehe moja mwezi wa nne 2023 nilibet live betting kwenye meridianbet app kuwa Bayern ashinde ilikuwa dakika ya 26 na Bayern alikuwa anaongoza tatu bila na odd ilikuwa 1.47 nikaweka stake 100,000. Baada ya kodi ikaja 142,300.
Baadaya ya mechi kuishi hawajanilipa hela yangu ila wamenirudishia Ile stake 100,000 niliyobetia nimeambatanisha picha.
View attachment 2573356
Tatizo ni languageTatizo mnabeti vitu ambavyo hamuelewi. Hiyo laki bora ungeenda kutoa sadaka. Naamini uliweka option bayern ashinde rest of the match.
yaani ulipoweka mkeka maana yake ilikuwa 0-0 kwa hiyo hapo kanji anahesabu bayern Kapigwa 2-1