Hapa umemaanisha nini mkuu?returning citizen
Okay mkuu kila la heri.Sheria ya kodi ya Tanzania, inampa ruhusa mtanzania ane rejea kutoka nchi za nje kuja na vitu vyake alivyo kua akivitunia na havitozwi kodi
Nitafanyia kazi swala lako:NB: Nahitaji kampuni yenye good track record
Pia yenye uzoefu na ku clear vitu bya returning citizen
Asante sana mkuu. Nakuja Inbox chapNitafanyia kazi swala lako:
- Ila ningeomba hizi taarifa mbili:
1. Makadilio ya ukubwa wa mzigo kwa CBM
2. Mjio ambapo mzigo unatolewa. (Tafadhali taja Mji au eneo maalum nchini Japani ambapo mzigo huo utahitaji kuchukuliwa.)
--
Kwa upande wangu mchakato ukienda vyema kitakachofanyika na kampuni ni.
1. Watafuata mzigo mahala ulipo ( ndio sababu nimeuliza location hapo juu)
2. Mzigo utasafirishawa hadi nchini.
3. Clearance itafanyika
4. Delivery hadi mlangoni kwako kwa hapa Tanzania.
--
Malipo hufanyika kwa awamu, (awamu ya kwanza ni hapo hapo japan, awamu ya pili ni hapa nchini) nitakupa deatils zaidi siku ya Jumanne, ila kwanza nipe hizo details mbili kupitia PM ( usiweke hapa kwenye thread ili kulinda privacy yako)
Nimepitia hii link:Sheria ya kodi ya Tanzania, inampa ruhusa mtanzania ane rejea kutoka nchi za nje kuja na vitu vyake alivyo kua akivitunia na havitozwi kodi
Sawa, Hii ndio itakuwa kazi ya kwanza kesho ofisini.Asante sana mkuu. Nakuja Inbox chap
KUna jamaa yangu alirudi toka nchi fulani ila nadhani alikuwa hafahamu huu utaratibuSheria ya kodi ya Tanzania, inampa ruhusa mtanzania ane rejea kutoka nchi za nje kuja na vitu vyake alivyo kua akivitunia na havitozwi kodi
Mkuu naomba nkuagize engine ya gari Japani uje nayoNina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji kampuni yenye good track record
Pia yenye uzoefu na ku clear vitu bya returning citizen
Asante
Nadhani ana maanisha raia anaye taka kurudi nyumbaniHapa umemaanisha nini mkuu?
Karibu nikihudumie WhatsApp me 0756411348Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji kampuni yenye good track record
Pia yenye uzoefu na ku clear vitu bya returning citizen
Asante
Mkuu, unakampuni ya usafirishaji unasafirisha mizigo kwameli kutoka Japan?Nitafanyia kazi swala lako:
- Ila ningeomba hizi taarifa mbili:
1. Makadilio ya ukubwa wa mzigo kwa CBM
2. Mjio ambapo mzigo unatolewa. (Tafadhali taja Mji au eneo maalum nchini Japani ambapo mzigo huo utahitaji kuchukuliwa.)
--
Kwa upande wangu mchakato ukienda vyema kitakachofanyika na kampuni ni.
1. Watafuata mzigo mahala ulipo ( ndio sababu nimeuliza location hapo juu)
2. Mzigo utasafirishawa hadi nchini.
3. Clearance itafanyika
4. Delivery hadi mlangoni kwako kwa hapa Tanzania.
--
Malipo hufanyika kwa awamu, (awamu ya kwanza ni hapo hapo japan, awamu ya pili ni hapa nchini) nitakupa deatils zaidi siku ya Jumanne, ila kwanza nipe hizo details mbili kupitia PM ( usiweke hapa kwenye thread ili kulinda privacy yako)
Pia Soma:
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Mkuu kaa huko huko....huku hapafaiNina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji kampuni yenye good track record
Pia yenye uzoefu na ku clear vitu bya returning citizen
Asante
Nakuaminia Mwl.RCTNitafanyia kazi swala lako:
- Ila ningeomba hizi taarifa mbili:
1. Makadilio ya ukubwa wa mzigo kwa CBM
2. Mjio ambapo mzigo unatolewa. (Tafadhali taja Mji au eneo maalum nchini Japani ambapo mzigo huo utahitaji kuchukuliwa.)
--
Kwa upande wangu mchakato ukienda vyema kitakachofanyika na kampuni ni.
1. Watafuata mzigo mahala ulipo ( ndio sababu nimeuliza location hapo juu)
2. Mzigo utasafirishawa hadi nchini.
3. Clearance itafanyika
4. Delivery hadi mlangoni kwako kwa hapa Tanzania.
--
Malipo hufanyika kwa awamu, (awamu ya kwanza ni hapo hapo japan, awamu ya pili ni hapa nchini) nitakupa deatils zaidi siku ya Jumanne, ila kwanza nipe hizo details mbili kupitia PM ( usiweke hapa kwenye thread ili kulinda privacy yako)
Pia Soma:
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Mkuu, unakampuni ya usafirishaji unasafirisha mizigo kwameli kutoka Japan?