Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Kwa 99.9% ni kwa njia ya ngono. Sasa hiyo 0.1% nitaomba Mungu aniepushie.Nani kakakwambia ukimwi unaambukizwa kwa njia ya ngono pekee??
Hapo ipo katika majaribio na ndiyo maana umeambiwa hapo itaanza na watu 56Hii apa imeripotiwaView attachment 1896572
Wewe ni muaminifu Je mwenza wako ana Imani sawa na wewe 100% ?!Kwa 99.9% ni kwa njia ya ngono. Sasa hiyo 0.1% nitaomba Mungu aniepushie.
Huo ndo ukweli wenyewe. Maana hili ni force ya mataifa makubwa.Hii hata mwendazake angeishadadia japo alishaungua siku nyiingiiii
Ni jambo zuri sema mwanzoni ikianza kutumika kwa majaribio itawahangamiza sana watu.
Maana watu watajiachia kupita maelezo na wakati huo tutakuwa hatuna uhakika na nguvu yake ya kuzuia.
Mimi na nyumba yangu tunamwabudu Muumba wetu. Ko tuko salama.Wewe ni muaminifu Je mwenza wako ana Imani sawa na wewe 100% ?!
Jidanganye
ooh kama ni hivyo sawa.Haya yote huwa yamefanyiwa kazi, ndio maana kwenye crinical trials kuna phase na sub-phase. Zote zina ripoti ambazo hupitiwa na kukupa kibali cha kuendelea na utafiti.
Kama hakuna faida inayoonekana huwa utafiti unasitishwa.
Soma drug discovery and development.
Vipi Dada tukafanyiwe test?
Umesemaje???.Tutakutafuta ili utueleze kinagaubaga.Hii hata mwendazake angeishadadia japo alishaungua siku nyiingiiii
Hahahaaaaaaaaa sasa mtanitafutaje bila barua , hahaaaaa umeona wenzio tunahitaji barua kwanza sio kutafuta watu tu bila barua hatari sanaUmesemaje???.Tutakutafuta ili utueleze kinagaubaga.