johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kampuni ya Mordena iliyokuwa inafanya utafiti wa chanjo ya Ukimwi kwa muda mrefu leo inaanza kufanyia majaribio chanjo hiyo.
Source: East Africa Radio
Source: East Africa Radio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni approach mpya aliyokuja nayo beberu baada ya kuona chanjo ya UVIKO imegonga mwamba huku Afrika...........chanjo ya ukimwi ilitakiwa kuja miaka mingi sana kama dhamira yao ilikuwa njema. vinginevyo tujiandae kufanywa maabara za majaribio na watumiaji wa teknolojia mpya ya kupandikiza vinasaba kwa kisingizio cha chanjo. Natabiri miaka mitano mbele tutaanza kushuhudia binadamu wenye maumbile na tabia za ajabu ajabu yakiwemo mazombi, mashoga, matasa, mahanithi, madume-jike nk....
Mimi sintachanja. Maana najiamini kwa uaminifu nilionao.
Punbavu kabisaaaKuna taarifa kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyoripoti ujio wa chanjo ya UKIMWI
Habari hizo zinaripoti kuwa chanjo hiyo itaanza kufanyiwa majairibio hivi karibuni kama wanavyoainisha wakiwemo na wale wapigia chapuo chanjo ya uviko
Sasa mimi binafsi nimejiuliza je HIYO SIO CHANJO YA COVID19 KWELI AMBAPO WAMEAMUA KUBADILISHIA GIA ANGANI???
kwa kutambua kuwa kwa njia hiyo jamii hasa za kiafrika itakuwa rahisi kuipokea kwa kuaminishwa kua ni chanjo ya UKIMWI
je nini kinaendelea juu ya hili.., ???
Mjadala uanze
Chanjo sio tiba mkuu.Hii chanjo ni Kwa ajili ya wale ambao bado hawajaathirika pekee ama na Waathirika itawatibu pia?
Hiyo hata wakiambiwa wawe sehemu ya majaribio hayo watagombania kama kupanda daladala😂Kampuni ya Mordena iliyokuwa inafanya utafiti wa chanjo ya Ukimwi kwa muda mrefu leo inaanza kufanyia majaribio chanjo hiyo.
Source: East Africa Radio
Zile mipira za zamani za bure toka family plan ndo zilikuwa ziantembea balaa,ila hizi za kununua naona nyingi zinaozea Dukani hazina wateja sana.Ni kweli mkuu, lakini ndio njia kuu ya maambukizi.
Naliona anguko la biashara za mipira ya kinga.
Ukichanja wewe inatosha.
Gwaji mwenzio kama tayari hajapatasijui,wewe kubali kuchuuzwa tu, zaidi ukiugua atakuambia njoo nikuponye.zaidi uje pamoja na malisho ya mchunga kondoo.Watu hatujakataa chanjo ila tumekataa kufanywa mbuzi wa majaribio ugonjwa wao ndo unawaathiri zaidi halafu wanatulazimishwa sisi tuwe wakwanza kupata hyo chanjo fake nasimama na gwajima.
Afadhali yako wewe jogoo hapandi kwa hiyo huna wasiwasi, la sivyo ungejiuliza kama huyo mtu wako nae anajiamini na mwaminifu kama wewe, na pia kuna mambo kama kuambukizwa kupitia hata majeraha nkMimi sintachanja. Maana najiamini kwa uaminifu nilionao.
Ahaa ndo mnavyotumwa, siyo? tunajua sana hila zozote mnazotaka kufanya. By the grace of God the Almighty we are far ahead than you think, there is no secret whatsoever....Likely, Paranoid.
Mwisho utakikimbia na kivuli chako. Mtu ambaye hata kukwepa bidhaa za Azam tu ni shida, lakini tunarukaruka weee.