#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

Zile mipira za zamani za bure toka family plan ndo zilikuwa ziantembea balaa,ila hizi za kununua naona nyingi zinaozea Dukani hazina wateja sana.

Sasa hivi hazitakuja kabisa hata huko madukani. Huku kwetu wengi tena wachache wanazitumia kwa kuepuka ukimwi sio mimba wala magonjwa ya zinaa.
 
Hiyo Tutaigombania sana tena na hakuna mtu atakubali kuikosa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ UKIMWI umekaa pabaya sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gwajiboy akiwa mstari wa mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huenda stock zikaisha mapema sana
 
hahahahhaha wanaokataa chanjo ya korona ya ukimwi inakuja hahahahahahahahahahahahahahaha hapa watu hawachomoi

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzigo wa Anti-GriD ya Kidatu hauna shanapa huo yani mapema tu box zinakata Terminal 3 kabla hazijafika hata TazaraπŸ˜‚
 
Chanjo ya korona haipingwi na watanzania pekeee malekani walikutana lini na Magufuli? Mbona wanaipinga au hamwoni? Ulaya walikutana lini na Gwajima mbona wanaipinga? Maoni ya watu hata Kama hawako sahihi yaheshimiwe! Anayefaidi matumizi ya chanjo ni nani kati ya Tanzania na USA? USA anafaidi kiuchumi directly kwa kuuza dawa na kulinda afya za watu wake, Kama asingekuwa na heshima kwa maoni ya watu bila shaka wale wanaipinga na kueneza propaganda za kupinga chanjo wangekuwa gerezani na kesi za kuhujumu uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…