Wakaniambia kama nimebeba vitu vya kupasuka hawana dhamana ya mzigo
Wakaangalia mzigo wangu wakasema kwa thamani ya mzigo nilipe 55000, cha ajabu receipt ya machine ikatoka 45000, hii nlikuja ku notice baadaye
Mzigo umefika mbeya taa karibu zote zimevunjika
Mimi niliacha kabisa kupanda hayo mabasi kwasababu ya hiyo tabia ya kukaa hotelini kwao muda mrefu bila sababu, ni kama wanawalazimisha mle chakula pale MorogoroMkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
Soda 2000Na bei zao sasa, Andazi moja elf moja
Kuna Mtu alisafiri na gari ya usiku akafika mapema asubuhi. Kwa nini lilichelewa?Kuna route ya Njombe, kuna siku tumeondoka magufuli saa kumi na moja alfajiri na tukafika Njombe saa tatu usiku. Badala ya kulalamika nimehamia Njombe Express.Mafinga niliwahi kufika saa nne asubuhi, ukiuliza sababu wanakwambia Mshukuru Mungu umefika salama, nikahamia Bahari Beach. ABC siyo kabisa.
Si mara moja kuchelewa na kuwa na maelezo yasiyo na maana. Mpaka nahamia mabus mengine ujue ni zaidi ya mara moja mkuu. Mara ya kwanza tulikaa Magufuli pale bila maelezo na tukala masaa mawili safi na bado tukaenda kukaa morogoro Cat Hotels. Tumeingia njombe saa tatu usiku, ukiuliza tatizo nini, unaambiwa shukuru Mungu kukaa masaa 15 njiani Dar Njombe. Habari ya mizigo na ucheleweshaji safari visichanganywe.Kuna Mtu alisafiri na gari ya usiku akafika mapema asubuhi. Kwa nini lilichelewa?
Kwangu kwenye huduma za mizigo naona wapo vizuri, kuanzia uhifadhi parcel kwenye mifuko maalum na ofisini kwao Manzese