kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Tanzania ubovu unaanzia kwa wananchi broh ,haiwezi hii nchi kwenda popote nakuapiaHapo unajiona umeongea point .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ubovu unaanzia kwa wananchi broh ,haiwezi hii nchi kwenda popote nakuapiaHapo unajiona umeongea point .
Nahisi labda bado anakumbukumbu na ile ishu ya makondae yakutaka kutoa fenicha pale freee ,freee maguh akamgomea,makondae bwana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwanini unahisi hailipwi kihalali kodi?
Sioni kosa la huyu mtu ni tanzania tu ndo wananchi wake hawana utaratibu wa kuhoji mambo,na ndo maana hapa wakuuu wanatesa sana,maana wahusika wenyewe bongo zao zimelala,ilikuwa ni haki tujue kila linalo endelea,maana sisi ndo wenye dukaRoho mbaya ni kirusi sana.
Yaani mtu kutajirika kwako wewe ni nongwa?
Hizo ni roho za kimasikini
Kama kapata kwa kuiba hiyo siyo hoja ,Kuliko kuficha mapesa ughaibuni na kuishia kupotea, ni heri mafisadi wenye uthubutu wa kuwekeza hapa nchini na kuongeza ajira na vitega uchumi vingi.
Sasa roho mbaya iko wapi wapi hapo,mbona hukohuko raia ukiwa na pesa nyingi wanaka kujua ulizipataje?uwanja wa ndege kuna pesa ukipita nazo utoe maelezo,mtanzania unahaki ya kufuatilia na kuhoji kuhusu maslahi ya nchi yakoRoho mbaya haijengi
Tuendelee kulinda maslahi ya majambazi ya nchi kwa kuipa tena kura ccm 2025Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Tupia hata kaPicha walau 10 tupate uchambuzi.!Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Wewe ni mpumbavu sana, Mwigulu yupo kwenye ofisi ya umma, na umma una haki ya kuhoji utajili huu wa ghafla anaupata kwa njia zipi?Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Tunapohisi Kuna wizi wa fedha za umma lazima tuhoji na hasa hasa anayehisiwa kuwa mmiliki anapofanya hayo mambo akiwa katika ofisi nyeti ya uma inayohusiana na utunzaji wa fedha za nchi😁😁😁😁😁😁
Mtu kanunua mabasi mia. Unajua basi moja ni shilingi ngapi? Basi zote zitapata plate number na zitaingia barabarani.
Wewe huko ulipo hata bando la buku kununua linakutoa jasho kwa kupunguza stress unahoji. Achunguzwe?
Tafuta pesa, hayo mambo mengine piga kimya waachie wenye nchi.
Inakubidi ushangilie maana ajira za madereva zitaongezeka.
Na wewe ulikuwa ni kuwadi wa haya majizi maccm, sijui imekuwaje Sasa hivi ulambi asali?Tunapohisi Kuna wizi wa fedha za umma lazima tuhoji na hasa hasa anayehisiwa kuwa mmiliki anapofanya hayo mambo akiwa katika ofisi nyeti ya uma inayohusiana na utunzaji wa fedha za nchi
You don't know how serious this is.
Achana na huo ujinga wako na ujifunze kufikiri kama binadamu mwenye maadili unless umekua katika familia ambayo wizi ni jambo la kawaida.
Story za kwenye kahawaMabasi 200 zimekuwa viazi vya Mbeya?
Mwendokasi zenyewe ni 230 ila zaonekana nyingi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hivi SI wachaga Hawa...Hiyo sioo kampuni lele mama,na hawana mabasi tu,nikujuze wamiliki wa hiyo kampuni ndio hao wanamiliki Tilisho,ndio hao wanamiliki vituo vya kuuza mafuta vya Meru vyote unavyovijua,wana viwanda vya kuchakata vyakula vya binadamu kama mafuta ya kupikia,wana kampuni za madini,,sasa mabasi 200 ni kitu kidogo sana.
Tafuta pesa kuna vitu utavipuuza
Kaka gari mia mbili unafikiri mchezo? Hapo jua ni mabasi 22 tuKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Yaani michina iuzwe 800M? Hata mil400 haifikiKampuni ya ester ni ya nnauye na walamba asali wenzio mkuuuu
Acha wivu tafuta hela na basi 1 ni 800M
Mara 200 ni 160B hiyo ni ushirika wa walamba asali nguli 7 hapo
#utajiri haupatikani kwa kulalamika chapa kazi#
😁
Wizi ni tabia mkuu ambayo Mimi sina Wala sikukuzwa hivyo.Kaibe nawewe
Yaani kisa magari 200 ndo qachunguzwe,hapo kuna ajira zaidi ya 5000 kwa vijana wetu ,acha uchuro kijanaKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Inadhangaza sana!Kwa mTanzania jambo huonekana baya kama likimgusa lakini akifanyiwa mwingine kwake ni furaha.......mwizi asiye muibia yeye huonekana shujaa.......