DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwanini unahisi hailipwi kihalali kodi?
Nahisi labda bado anakumbukumbu na ile ishu ya makondae yakutaka kutoa fenicha pale freee ,freee maguh akamgomea,makondae bwana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Roho mbaya ni kirusi sana.
Yaani mtu kutajirika kwako wewe ni nongwa?
Hizo ni roho za kimasikini
Sioni kosa la huyu mtu ni tanzania tu ndo wananchi wake hawana utaratibu wa kuhoji mambo,na ndo maana hapa wakuuu wanatesa sana,maana wahusika wenyewe bongo zao zimelala,ilikuwa ni haki tujue kila linalo endelea,maana sisi ndo wenye duka
 
Kuliko kuficha mapesa ughaibuni na kuishia kupotea, ni heri mafisadi wenye uthubutu wa kuwekeza hapa nchini na kuongeza ajira na vitega uchumi vingi.
Kama kapata kwa kuiba hiyo siyo hoja ,
 
Roho mbaya haijengi
Sasa roho mbaya iko wapi wapi hapo,mbona hukohuko raia ukiwa na pesa nyingi wanaka kujua ulizipataje?uwanja wa ndege kuna pesa ukipita nazo utoe maelezo,mtanzania unahaki ya kufuatilia na kuhoji kuhusu maslahi ya nchi yako
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Tuendelee kulinda maslahi ya majambazi ya nchi kwa kuipa tena kura ccm 2025
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Tupia hata kaPicha walau 10 tupate uchambuzi.!
 
😁😁😁😁😁😁
Mtu kanunua mabasi mia. Unajua basi moja ni shilingi ngapi? Basi zote zitapata plate number na zitaingia barabarani.
Wewe huko ulipo hata bando la buku kununua linakutoa jasho kwa kupunguza stress unahoji. Achunguzwe?
Tafuta pesa, hayo mambo mengine piga kimya waachie wenye nchi.
Inakubidi ushangilie maana ajira za madereva zitaongezeka.
Tunapohisi Kuna wizi wa fedha za umma lazima tuhoji na hasa hasa anayehisiwa kuwa mmiliki anapofanya hayo mambo akiwa katika ofisi nyeti ya uma inayohusiana na utunzaji wa fedha za nchi

You don't know how serious this is.

Achana na huo ujinga wako na ujifunze kufikiri kama binadamu mwenye maadili unless umekua katika familia ambayo wizi ni jambo la kawaida.
 
Na wewe ulikuwa ni kuwadi wa haya majizi maccm, sijui imekuwaje Sasa hivi ulambi asali?
 
Hiyo sioo kampuni lele mama,na hawana mabasi tu,nikujuze wamiliki wa hiyo kampuni ndio hao wanamiliki Tilisho,ndio hao wanamiliki vituo vya kuuza mafuta vya Meru vyote unavyovijua,wana viwanda vya kuchakata vyakula vya binadamu kama mafuta ya kupikia,wana kampuni za madini,,sasa mabasi 200 ni kitu kidogo sana.

Tafuta pesa kuna vitu utavipuuza
Hivi SI wachaga Hawa...
Najiulozaha mwigulu kaingiaje
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Kaka gari mia mbili unafikiri mchezo? Hapo jua ni mabasi 22 tu
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Yaani kisa magari 200 ndo qachunguzwe,hapo kuna ajira zaidi ya 5000 kwa vijana wetu ,acha uchuro kijana
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana . Yaani mna roho za wizi na rushwa . Kuna ubaya gani mtu kuhiji utajiri wa haraka wa Mtanzania mwenzetu! Mtu miaka michache iliyopita alikuwa Mchunga mbuzi, Leo kapata Uongozi Kawa bilionea ... Eti mtu ananoji anaambiwa ana wivu wa kimaskini!?!?
Ndio maana nchi imejaa chawa na mchwa!
Laana kubwa sana! Watu wanawaacha Viongozi wanaendesha magari ya milioni 500 ilhali Kuna Watanzania wanakunywa maji na mbuzi,kondoo,nyani na vicheche huko vijijini!
 
Back
Top Bottom