Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kuna kuagiza kwa jumla kunasaidia kipata discount kubwa kuliko kununua mtu mmojakampuni si ya mtu mmoja Kwa hiyo kununua mabasi 100 ni kawaida kabisa,,,,tafuta pesa aisee
Bado viltuo vya mafuta vitakavyofaidi,bado gereji kwa wafanya service nk ajira nyingiKama kashusha gari mia mbili hapo Kuna watu wasiopungua 500 wanaenda kupata ajira
Yutong(basi moja la kichina) ni 800m? Mkuu nirudishue nauli yangu nitashukia hapo Kibaha.Kampuni ya ester ni ya nnauye na walamba asali wenzio mkuuuu
Acha wivu tafuta hela na basi 1 ni 800M
Mara 200 ni 160B hiyo ni ushirika wa walamba asali nguli 7 hapo
#utajiri haupatikani kwa kulalamika chapa kazi#
😁
NAKAZIA HAPAKama kashusha gari mia mbili hapo Kuna watu wasiopungua 500 wanaenda kupata ajira
Wanakuambia utafute hela uache wivu, eti huo ni wivu na umasikini.Tangu neno Chawa liasisiwe mwaka 2016 hadi leo hii, Watanzania wamepungukiwa uwezo wa kupambana na Ufisadi.
Yaani mtu anapata Utajiri akiwa ofisi ya Umma lakini watu hawaoni shida.
Mbona Nyerere amehudumu miaka almost 24 kama Rais wa Nchi lakini hatujawahi kusikia akihusishwa na Utajiri wowote iwe wa Kumilikia Makampuni ya Ujenzi au Usafiri?
Iweje viongozi wa kileo hata miaka 5 ya kuongoza kwa nafasi ya Mkurugenzi tu wa Halmashauri hajamaliza lakini anakuwa na Utajiri wa zaidi ya Kipato chake?
Kama Nchi itakuwa inaongozwa na watu wenye mentality ya namna hii itakuwa vigumu kusonga mbele
Kwa hiyo hata shetani akileta ajira ni sawa tu...CCM NI LAANA YA HII NCHI!Bado viltuo vya mafuta vitakavyofaidi,bado gereji kwa wafanya service nk ajira nyingi
zitaibuka kupitia hayo mabasi
CCM NI JANGAWanakuambia utafute hela uache wivu, eti huo ni wivu na umasikini.
Yaani mtu ni mtumishi wa umma, hatujui hizo pesa kapataje, ananunua Yutong 200 asiulizwe coz mkiuliza mna wivu.
Nchi imejifia hii
Ndiyo maana viongozi wanatuchezea watakavyo.Wanakuambia utafute hela uache wivu, eti huo ni wivu na umasikini.
Yaani mtu ni mtumishi wa umma, hatujui hizo pesa kapataje, ananunua Yutong 200 asiulizwe coz mkiuliza mna wivu.
Nchi imejifia hii
Amesema ichunguzwe.Naona yuko sahihi.Kwani unafikiri huko walikoendelea huwa hawachunguzani kama kuna jambo halieweki?Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Na wewe unadhani biashara ina operate hivyo? Kuwa tajiri ni bahati jumlisha weledi na umahiri wa ku-take risk. Tunaweza tukafungua duka la nguo leo la aina moja na mtu mwingine. Mie nikawa na advantage ýa location na pia security nikakopa benki biashara yangu ikakuwa mara 5 ya mwenzangu. Hapo haimaanishi mimi ni mwizi ila nime-play smart.Ndiyo maana viongozi wanatuchezea watakavyo.
Mtu ana mshahara wa 12M kwa mwezi plus posho maybe 5M kwa mwezi kutokana na nafasi yao ya Uwaziri ndiyo apate hela za kuweza kuafford kuagiza Yutong 200 ambapo kwa mahesabu ya haraka si chini ya bilioni 40.
Hayo mambo hayakuwezekana enzi za Nyerere, ilikuwa lazima ufilisiwe kuliko kuiba mali ya Umma
Madelu na wapambe wake wakiona huu uzi, watakuchukulia wewe kama Snitch.Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Kama mtu kaagiza mabasi mia, yote yanapita bandarini, yanapewa plate namba na yanaingia barabarani unafikiri yote yanafanyika bure?Amesema ichunguzwe.Naona yuko sahihi.Kwani unafikiri huko walikoendelea huwa hawachunguzani kama kuna jambo halieweki?
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Unaishi na huyo mtu nyumban kwako mpaka ulize pesa kapataje?Wanakuambia utafute hela uache wivu, eti huo ni wivu na umasikini.
Yaani mtu ni mtumishi wa umma, hatujui hizo pesa kapataje, ananunua Yutong 200 asiulizwe coz mkiuliza mna wivu.
Nchi imejifia hii
Siyo kwa nchi za kiafrika. Tafuta hela na hakikisha familia yako inaishi maisha mazuri.Kuwa na mali ni sawa mkuu!! Ila ni vizuri tukajua chanzo chako cha pesa hasa ukiwa kiongozi, usije kuwa unatafuna pesa za walipa kodi