DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama kashusha gari mia mbili hapo Kuna watu wasiopungua 500 wanaenda kupata ajira
 
kampuni si ya mtu mmoja Kwa hiyo kununua mabasi 100 ni kawaida kabisa,,,,tafuta pesa aisee
Kabisa kuna kuagiza kwa jumla kunasaidia kipata discount kubwa kuliko kununua mtu mmoja
 
Kama kashusha gari mia mbili hapo Kuna watu wasiopungua 500 wanaenda kupata ajira
Bado viltuo vya mafuta vitakavyofaidi,bado gereji kwa wafanya service nk ajira nyingi
zitaibuka kupitia hayo mabasi
 
Tangu neno Chawa liasisiwe mwaka 2016 hadi leo hii, Watanzania wamepungukiwa uwezo wa kupambana na Ufisadi.

Yaani mtu anapata Utajiri akiwa ofisi ya Umma lakini watu hawaoni shida.
Mbona Nyerere amehudumu miaka almost 24 kama Rais wa Nchi lakini hatujawahi kusikia akihusishwa na Utajiri wowote iwe wa Kumilikia Makampuni ya Ujenzi au Usafiri?

Iweje viongozi wa kileo hata miaka 5 ya kuongoza kwa nafasi ya Mkurugenzi tu wa Halmashauri hajamaliza lakini anakuwa na Utajiri wa zaidi ya Kipato chake?

Kama Nchi itakuwa inaongozwa na watu wenye mentality ya namna hii itakuwa vigumu kusonga mbele
 
Acha wivu husda na uchawi wewe maskini
 
Wanakuambia utafute hela uache wivu, eti huo ni wivu na umasikini.

Yaani mtu ni mtumishi wa umma, hatujui hizo pesa kapataje, ananunua Yutong 200 asiulizwe coz mkiuliza mna wivu.

Nchi imejifia hii
 
CCM NI JANGA
 
Ndiyo maana viongozi wanatuchezea watakavyo.

Mtu ana mshahara wa 12M kwa mwezi plus posho maybe 5M kwa mwezi kutokana na nafasi yao ya Uwaziri ndiyo apate hela za kuweza kuafford kuagiza Yutong 200 ambapo kwa mahesabu ya haraka si chini ya bilioni 40.

Hayo mambo hayakuwezekana enzi za Nyerere, ilikuwa lazima ufilisiwe kuliko kuiba mali ya Umma
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Amesema ichunguzwe.Naona yuko sahihi.Kwani unafikiri huko walikoendelea huwa hawachunguzani kama kuna jambo halieweki?
 
Na wewe unadhani biashara ina operate hivyo? Kuwa tajiri ni bahati jumlisha weledi na umahiri wa ku-take risk. Tunaweza tukafungua duka la nguo leo la aina moja na mtu mwingine. Mie nikawa na advantage ýa location na pia security nikakopa benki biashara yangu ikakuwa mara 5 ya mwenzangu. Hapo haimaanishi mimi ni mwizi ila nime-play smart.

Mabasi ya Esther yapo muda mrefu na kukua kwa kampuni hiyo kuna vitu vingi na kuna wanahisa wengi. Huwezi kuongelea mshahara wa mtu mmoja wakati kampuni ni limited by shares.

Mie ni mtumishi wa umma ninayefanya biashara pia. Nashauri tuondokane na mentality ya aliyefanikiwa ni mwizi wengine wame-take risk wamefanikiwa
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Madelu na wapambe wake wakiona huu uzi, watakuchukulia wewe kama Snitch.
 
Amesema ichunguzwe.Naona yuko sahihi.Kwani unafikiri huko walikoendelea huwa hawachunguzani kama kuna jambo halieweki?
Kama mtu kaagiza mabasi mia, yote yanapita bandarini, yanapewa plate namba na yanaingia barabarani unafikiri yote yanafanyika bure?
Jaribu hata wewe kununua computer china uone kama utaipitisha bure.
Huyo atafute hela, kwa akili yake anawaza mtu hawezi kununua basi mia kwa wakati mmoja.
Tafuta hela
Tafuta hela
Tafuta hela
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?

Alafu ndo SGR iishe kweli? Lazima waihujumu ili izi bus zao zitembee
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.

Kuwa na mali ni sawa mkuu!! Ila ni vizuri tukajua chanzo chako cha pesa hasa ukiwa kiongozi, usije kuwa unatafuna pesa za walipa kodi
 
Wanakuambia utafute hela uache wivu, eti huo ni wivu na umasikini.

Yaani mtu ni mtumishi wa umma, hatujui hizo pesa kapataje, ananunua Yutong 200 asiulizwe coz mkiuliza mna wivu.

Nchi imejifia hii
Unaishi na huyo mtu nyumban kwako mpaka ulize pesa kapataje?
Hapo kazini kwako, hebu iba na wewe utajirike tuone.
Punguza makasiriko, tafuta hela mkuu
 
Kuwa na mali ni sawa mkuu!! Ila ni vizuri tukajua chanzo chako cha pesa hasa ukiwa kiongozi, usije kuwa unatafuna pesa za walipa kodi
Siyo kwa nchi za kiafrika. Tafuta hela na hakikisha familia yako inaishi maisha mazuri.
Unafikiri zile milion 5 za magoli ya Simba na Yanga, mama yako anatoa mfukoni kwake?
Tutafute pesa, tuache makasiriko.
 
Back
Top Bottom