DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama unaona Wizi wa mali za Umma ni ufahari basi tumelogwa.

Ndiyo maana Viongozi wanaona ufahari kutuibia na kushindana kununua majumba ya kifahari huko Duniani
Hata ukijua utafanya nini? Wewe mwenyewe unajifanya msafi, ukipewa cheo utaiba tu.
Hapo ulipo ushawahi kuwadhulumu watu wangapi? Utakuta kuna mtu ushawahi kumkopa hela au kumfanyisha kazi na hautaki kumlipa mpk sasa.
 
Hakuna anae kasirika ila ni muhimu kuhoji kwasababu wananchi ndo wanao kamuliwa kodi, hizo za simba na yanga wakati wake utafika
Hata ukihoji utafanya nini? Nchi za Afrika zote duniani, wanaolipa kodi ni masikini tu. Ngoja nikufafanulia vizuri
Viongozi wa Afrika na wafanyabiashara wakubwa wapo juu ya sheria na wao ndiyo sheria.
Mkuu wa wilaya au naibu waziri anaweza kumfukuza kazi mfanyakazi yoyote ambaye yupo chini yake hata km hana makosa. Hapo Takukuru, TRA au bandarini akitokea mfanyakazi ambaye anataka kila mtu alipe kodi haijalishi ni kiongozi au nani. Itapigwa simu moja tu na kesho hana kazi. Ni nani yupo tayari aache kazi na maisha magumu haya?
Kikubwa tafuta hela na hakikisha familia yako na ndugu zako wanaishi vizuri. Mengine achana nayo.
Kamuulize Tundu Lissu. Unajua Ben Saanane yupo wapi?
 
Bongo bhana tunachukia matajiri wakati wanaajiri ndugu zetu mtu akiwa na pesa tu ni adui wa maskini wanaanza kutoa taarifa za uongo wala zisizo na uthibitisho...mtu anaweza kaagiza busi 10 tutaambiwa 600 ili mradi tuu...
 
PVC ALUMINIUM
MADIRISHA MILANGO PARTITION BALCONY
tuone kupitia namba hii 0735432020
255789884293_status_47a182517a1e4834a74027788f352221.jpg
 
Leo natoka Arusha kwenda Moshi kila baada ya dakika 5 nakutana na Bus la Esther Luxury,wenzetu wana pesa bwana,kifo tu ndo kimeharibu
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Wivu huo sasa ....akifanya abood au shabiby ni sawa akifanya ngozi nyeusi achunguzwe khaaa wivu mwingine duu
 
Mwigulu aka mchumi nambari 1 aka kipanga aka mzee wa tozo aka mwalimu wa uchumi wa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣
Leo natoka Arusha kwenda Moshi kila baada ya dakika 5 nakutana na Bus la Esther Luxury,wenzetu wana pesa bwana,kifo tu ndo kimeharibu
 
Tangu neno Chawa liasisiwe mwaka 2016 hadi leo hii, Watanzania wamepungukiwa uwezo wa kupambana na Ufisadi.

Yaani mtu anapata Utajiri akiwa ofisi ya Umma lakini watu hawaoni shida.
Mbona Nyerere amehudumu miaka almost 24 kama Rais wa Nchi lakini hatujawahi kusikia akihusishwa na Utajiri wowote iwe wa Kumilikia Makampuni ya Ujenzi au Usafiri?

Iweje viongozi wa kileo hata miaka 5 ya kuongoza kwa nafasi ya Mkurugenzi tu wa Halmashauri hajamaliza lakini anakuwa na Utajiri wa zaidi ya Kipato chake?

Kama Nchi itakuwa inaongozwa na watu wenye mentality ya namna hii itakuwa vigumu kusonga mbele
Na chawa zake zinaropoka huku pembeni tafuta hela. Sawa. Wacha tutafute za halali nyie ogeeni hizo za wanyonge.
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Umasikini ni laana aisee. Pole mkuu
 
Na chawa zake zinaropoka huku pembeni tafuta hela. Sawa. Wacha tutafute za halali nyie ogeeni hizo za wanyonge.

Kwani umaskini ni sifa nzuri nayo and mnadhani Kiongozi au Mtendaji yeyote hawezi ku invest na akawa tajiri na kwa akili yako mbovu unaleta story za Nyerere kwenye mfumo wa maisha yetu Haya msichojua ni kwamba sifa mojawapo ya Kuwa Rais Marekani ni una utajiri kiasi gani acheni mawazo ya kimaskini
 
Hivi Yale mabasi ya Ile Wizara nyeti yenye pesa nyingi yanaitwaje tena?
 
Mwigulu aka mchumi nambari 1 aka kipanga aka mzee wa tozo aka mwalimu wa uchumi wa Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwambie baba ako naye atafute pesa sio kufuatilia maisha ya watu mtachelewa
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Sion tatizo kwny alichosema,lazma utajiri wwte uchunguzwe muhimu kujua km ni utajir halali hufanyika dunian kote,CAG katoka kutema cheche watu wanachota tu afu we unadiss kuchunguzwa kwa kampuni iyo ya usafir,,unasema ni umaskini,acha kuna na kiherehere mzee hakuna tuzo za JF kwa wanaowahi kucomment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom