Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha yaani huyo mwenye mabus mi nimemjua jina kabla hayajawa mengi baadae ndo wakamuhusisha nae ndo nikasema labda ameyanunuaNa wamempa Mwigulu sababu Mke wake anaitwa Esther
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata ukijua utafanya nini? Wewe mwenyewe unajifanya msafi, ukipewa cheo utaiba tu.Kama unaona Wizi wa mali za Umma ni ufahari basi tumelogwa.
Ndiyo maana Viongozi wanaona ufahari kutuibia na kushindana kununua majumba ya kifahari huko Duniani
Hata ukihoji utafanya nini? Nchi za Afrika zote duniani, wanaolipa kodi ni masikini tu. Ngoja nikufafanulia vizuriHakuna anae kasirika ila ni muhimu kuhoji kwasababu wananchi ndo wanao kamuliwa kodi, hizo za simba na yanga wakati wake utafika
Basi zaidi ya 200!?..zitaenda ruti gani!?..muwe mnapunguza chumvi mbuzi nyie
Kabisa Mtaalam Lengo Letu Ni Kufaham Kama Kodi Imelipwa Kihalali na Sio Janja JanjaTunaulizia Kodi inalipwa halali?
Wivu huo sasa ....akifanya abood au shabiby ni sawa akifanya ngozi nyeusi achunguzwe khaaa wivu mwingine duuKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Leo natoka Arusha kwenda Moshi kila baada ya dakika 5 nakutana na Bus la Esther Luxury,wenzetu wana pesa bwana,kifo tu ndo kimeharibu
Na chawa zake zinaropoka huku pembeni tafuta hela. Sawa. Wacha tutafute za halali nyie ogeeni hizo za wanyonge.Tangu neno Chawa liasisiwe mwaka 2016 hadi leo hii, Watanzania wamepungukiwa uwezo wa kupambana na Ufisadi.
Yaani mtu anapata Utajiri akiwa ofisi ya Umma lakini watu hawaoni shida.
Mbona Nyerere amehudumu miaka almost 24 kama Rais wa Nchi lakini hatujawahi kusikia akihusishwa na Utajiri wowote iwe wa Kumilikia Makampuni ya Ujenzi au Usafiri?
Iweje viongozi wa kileo hata miaka 5 ya kuongoza kwa nafasi ya Mkurugenzi tu wa Halmashauri hajamaliza lakini anakuwa na Utajiri wa zaidi ya Kipato chake?
Kama Nchi itakuwa inaongozwa na watu wenye mentality ya namna hii itakuwa vigumu kusonga mbele
Umasikini ni laana aisee. Pole mkuuKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Na chawa zake zinaropoka huku pembeni tafuta hela. Sawa. Wacha tutafute za halali nyie ogeeni hizo za wanyonge.
Hivi Yale mabasi ya Ile Wizara nyeti yenye pesa nyingi yanaitwaje tena?
Mwigulu aka mchumi nambari 1 aka kipanga aka mzee wa tozo aka mwalimu wa uchumi wa Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sion tatizo kwny alichosema,lazma utajiri wwte uchunguzwe muhimu kujua km ni utajir halali hufanyika dunian kote,CAG katoka kutema cheche watu wanachota tu afu we unadiss kuchunguzwa kwa kampuni iyo ya usafir,,unasema ni umaskini,acha kuna na kiherehere mzee hakuna tuzo za JF kwa wanaowahi kucommentUna akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.