Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana Dar-Mbeya/ TUNDUMA

Waongeze na za usiku unatoka Ubungo saa 1 usiku...itasaidia sana wale wa dharura
 
Majinjah mbona wameanza hilo siku nyingi
Hata Rungwe wamefanya sana hiyo route, tena pale Uyole njia panda zilikuwa zinaondoka hadi Majinjah 2 kwa mchana. Baadaye walianza kusumbuana na malumbano mengi ikasimama kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…