Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana Dar-Mbeya/ TUNDUMA

Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana Dar-Mbeya/ TUNDUMA

Changamoto ilikua mfano gar ikifel taaa mkuu hap kifo jap ni nzur san kusafiri usiku
Ni changamoto mkuu ndo maana kuna service kabla ya kuanza safari... kwa logic hiyo kuna vitu vingi visingefanyika kisa tunaogopa jambo flan kutokea... all in all kuna magari mengi yanazafiri usiku hasa private na mlori
 
Changamoto ilikua mfano gar ikifel taaa mkuu hap kifo jap ni nzur san kusafiri usiku
Miaka ya huko nyuma hatukusikia gari ikifel taa, ila baada ya kizazi kipya kuwa karibu kidijitali ndipo inaonekena hilo tatizo mh..!
 
Back
Top Bottom