kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 Jan 23, 2021 #21 Whackiest said: Changamoto ilikua mfano gar ikifel taaa mkuu hap kifo jap ni nzur san kusafiri usiku Click to expand... Ni changamoto mkuu ndo maana kuna service kabla ya kuanza safari... kwa logic hiyo kuna vitu vingi visingefanyika kisa tunaogopa jambo flan kutokea... all in all kuna magari mengi yanazafiri usiku hasa private na mlori
Whackiest said: Changamoto ilikua mfano gar ikifel taaa mkuu hap kifo jap ni nzur san kusafiri usiku Click to expand... Ni changamoto mkuu ndo maana kuna service kabla ya kuanza safari... kwa logic hiyo kuna vitu vingi visingefanyika kisa tunaogopa jambo flan kutokea... all in all kuna magari mengi yanazafiri usiku hasa private na mlori
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Jan 23, 2021 #22 johnthebaptist said: Mimi nilipanda Kwacha bus service! Click to expand... Mi nilitembea. Tulikuwa na kina Livingstone.
johnthebaptist said: Mimi nilipanda Kwacha bus service! Click to expand... Mi nilitembea. Tulikuwa na kina Livingstone.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jan 23, 2021 #23 Whackiest said: Changamoto ilikua mfano gar ikifel taaa mkuu hap kifo jap ni nzur san kusafiri usiku Click to expand... Miaka ya huko nyuma hatukusikia gari ikifel taa, ila baada ya kizazi kipya kuwa karibu kidijitali ndipo inaonekena hilo tatizo mh..!
Whackiest said: Changamoto ilikua mfano gar ikifel taaa mkuu hap kifo jap ni nzur san kusafiri usiku Click to expand... Miaka ya huko nyuma hatukusikia gari ikifel taa, ila baada ya kizazi kipya kuwa karibu kidijitali ndipo inaonekena hilo tatizo mh..!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 23, 2021 #24 johnthebaptist said: Mimi nilipanda Kwacha bus service! Click to expand... Kwacha, Kiswele, Zainab, Scandinavia...zamani sana hii
johnthebaptist said: Mimi nilipanda Kwacha bus service! Click to expand... Kwacha, Kiswele, Zainab, Scandinavia...zamani sana hii
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 23, 2021 #25 Watu8 said: Kwacha, Kiswele, Zainab, Scandinavia...zamani sana hii Click to expand... Long time bwashee! Tawaqal, Safina, The big mayai, Special Coach nk.....nk!
Watu8 said: Kwacha, Kiswele, Zainab, Scandinavia...zamani sana hii Click to expand... Long time bwashee! Tawaqal, Safina, The big mayai, Special Coach nk.....nk!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 23, 2021 #26 Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw