Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Naona Mabeberu yameingia kazini tena.

Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa hapo awali kampuni hiyo ikiwa mhanga.

Fedha za kuendesha kesi hiyo zimetolewa na kampuni ya Omni Bridgway ya Canada.

Huu utakua ni muendelezo wa makampuni ya Canada kuishambulia serikali kwa madai mbali mbali.

----
Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania

Montero has advised that it has completed a Litigation Funding Agreement with Omni Bridgeway Canada, an affiliate of the Litigation Funder.

The Agreement provides for funds to be drawn from a financing facility to meet all fees and expenses relating to the pursuit of certain claims against the Government of Tanzania for the illegal expropriation and loss of the Project, including all costs associated with legal proceedings and, if necessary, enforcement, of any awards.

Montero has retained Thierry Lauriol and his team at Jeantet AARPI as highly experienced legal counsel in international arbitration with a track record of success for its clients in Africa.

Dr Tony Harwood, President of Montero, comments:

“Montero’s legal representatives, Jeantet, backed by the financial support of the Litigation Funder Omni Bridgeway, have been engaged to aggressively pursue compensation for the illegal activities of the Government of Tanzania in expropriating the Wigu Hill rare earth element Project.”

Montero is not able to make any comment in relation to the potential quantum of any claim for compensation at this point.

As background, on 17 January, 2020 Montero delivered a Notice of Intent to Submit a Claim to Arbitration to the Attorney General of Tanzania in accordance with the 2013 Agreement for the Promotion and Reciprocal Protection of Investments in the Bilateral Investment Treaty (BIT) between Canada and the United Republic of Tanzania.

The dispute arises out of certain acts and omissions of the United Republic of Tanzania in breach of the BIT and international law, relating to Montero’s investment in the Wigu Hill rare earth element project located in Tanzania.

Montero commenced exploration activities on the Wigu Hill project in March 2008 when it was held under Prospecting License. Montero subsequently, on advice from the Mining Commissioner, applied for a Retention License in 2014 and this was granted in 2015 valid for a period of five years.

In 2017 the Government of Tanzania announced amendments to the Mining Act 2010, which, inter alia, abolished the legislative basis for the Retention License classification with no replacement classification.

On 10 January 2018 the Government published the Mining Regulations 2018 which under Regulation 21 cancelled all Retention Licenses issued prior to that date, which would cease to have any legal effect.

The rights to all areas under Retention Licenses were immediately transferred to the Government of Tanzania.

On December 19th, 2019 the Mining Commission of Tanzania announced a public invitation to tender for the joint development of areas previously covered by Retention Licenses, including the area of the Wigu Hill Retention License.

The abolition of the Wigu Hill Retention License and the removal of the various rights to the minerals conferred by this licence has rendered the Wigu Hill project valueless to Montero.

Therefore, as a direct consequence of the legislative, regulatory and other measures made by the Tanzanian Government, Montero has lost completely its investment.

The Notice of Intent is necessary in order to preserve Montero’s rights to initiate arbitration should a resolution with the Tanzanian Government not be reached.

The filing of the Notice of Intent initiates a six-month consultation period between the parties during which time no attempt was made by the Tanzanian Government to amicably settle the dispute.

Montero has initiated international arbitration proceedings in accordance with the BIT between Canada and the United Republic of Tanzania. Compensation being sought for expropriation of the Wigu Hill rare earth element Project may include, but will not be limited to, the value of the historic investment made by Montero in Tanzania, the value of the project at the time that tenure was expropriated and damages the Company has suffered as a result of Tanzania’s acts and omissions.


Source: Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania
 
Tuwaache wakapambane na serikali huko mahakamani tu.

Lakini sio mahakama zetu hizi za Kitanzania.
 
Mjifunze kabla ya kufuta hizo sheria muwe mnatazama kwanza athari zitakazotokana na hayo maamuzi, sio mnakurupuka tu halafu mnalia lia mabeberu wameanza, ukweli nyie ndio mliowaanza wao wanamalizia.
 
Ndio maana tunataka kupeleka ndege China ambako hazitakamatwa.

Ukiona serikali yoyote imeegemea china ujue ni serikali isiyoheshimu sheria wala taratibu za ndani na za kimataifa, isiyoheshimu haki za binadamu.

CCM haina nia njema na nchi hii.
 
Mjifunze kabla ya kufuta hizo sheria muwe mnatazama kwanza athari zitakazotokana na hayo maamuzi, sio mnakurupuka tu halafu mnalia lia mabeberu wameanza, ukweli nyie ndio mliowaanza wao wanamalizia.
Inawezekana hii nayo tukaifanyia kampeni ya "Uzalendo" (feki).

Hawa mabeberu wanazidi kuifanya kazi ya wapinzani kama CHADEMA na ACT Wazalendo(?) izidi kuwa ngumu!
 
Sasa mkuu kama unakiri kuna mambo hayakufanyika sahihi kwa nini usikubaliane na serikali kushitakiwa? Tatizo nyie kichwa maji, mnavunja mikataba mliyoisani wenyewe halafu mkishitakiwa mnalalama.
Hakuna binadamu mkamilifu , binadamu tumeumbiwa kukosea ukiteleza unainuka na kuendelea na safari.
 
Sasa mkuu kama unakiri kuna mambo hayakufanyika sahihi kwa nini usikubaliane na serikali kushitakiwa? Tatizo nyie kichwa maji, mnavunja mikataba mliyoisani wenyewe halafu mkishitakiwa mnalalama.
Mkuu 'konda msafiri', usimlaumu huyo uliyemjibu kwa hayo aliyoandika. Hapo amechukua hatua kubwa sana kukiri makosa. Kwani humjui mkuu 'stroke'.
Anastahili pongezi kwa kufikia hatua ya kuyaandika hayo uliyomjibu hapo. Kidogo ameanza kuona mwanga. Anaanza kuwa 'objective' kidogo kwa kuyaona mambo katika mwanga halisi.
 
Kuna mambo hayakufanyika sahihi, tujitahidi yasijirudie tena.
Ccm hiyo hiyo iliyoingia mikataba feki ndio iweze kujinasua na janga hilo!
By the way,siri za mikataba tata ya awamu hii zitajulikana awamu ijayo.
Ccm ni ile ile....
 
Natumaini wanasheria wetu wa serikali ni wazalendo wa kutosha kutetea maslahi ya nchi.

Wasibabaishwe na virushwa vya milioni 500 wakashindwa kesi makusudi.
 
Ccm hiyo hiyo iliyoingia mikataba feki ndio iweze kujinasua na janga hilo!
By the way,siri za mikataba tata ya awamu hii zitajulikana awamu ijayo.
Ccm ni ile ile....
Mkuu ,

Usiseme CCM ni ile ile, unapaswa kusema kwamba watanzania tunapaswa kubadilika kwani sio watendaji wote wa serikali ni wanachama wa CCM , serikali kuu umeundwa na wanachama wa vyama mbali Mbali.
 
Back
Top Bottom