Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima ndege za Atcl ziende South Africa?Jibu swali upesi, hili ni swala la kiuchumi sio siasa za mtaroni za Lumumba.
Mnakwepa nini kupeleka Atcl South Africa alafu mnaacha ndege zimepark na kuwa makazi ya popo?Kwani lazima ndege za Atcl ziende South Africa?
Wewe utakua mchawi mkuu na ukiwa mzee utakua mchawi tu.Yule Mkulima Stain wa South Africa anauliza vipi mbona ATCL mmesitisha route zote za South Africa?
Tumia akili kabla ya kuropoka.Mnakwepa nini kupeleka Atcl South Africa alafu mnaacha ndege zimepark na kuwa makazi ya popo?
Vipi tena mbona jazba ghafla namna hii??Wewe utakua mchawi mkuu na ukiwa mzee utakua mchawi tu.
"... maana ilikuwa ni voidable contract"?Mtoa mada usiwe kama vijana wa Chadema ambao uwezo wao wa kujua mambo ni mdogo.
Hii ishi ni ndogo sana, hawa mabebeu hawawezi kutoboa maana ilikuwa ni voidable contract.
Hata nikikuelewesha wewe kilaza wa kutupa utaelewa hata kidogo?"... maana ilikuwa ni voidable contract"?
Sijui hii umeiona wapi, au wewe ulikuwa mmoja wa walioandaa mkataba huo?
Imenilazimu nikuulize swali hilo, pamoja na kujua dhahiri 'kilevi' kinachokulemaza akili na kunifanya nisichukulie kwa uzito wowote maandishi unayoweka humu JF.
Eeenh, si unaona unavyodhihirisha niliyoandika hapo juu?Hata nikikuelewesha wewe kilaza wa kutupa utaelewa hata kidogo?
Sawa I believe tutashinda ila circumstances za voidable contract hazipo applicable kwa hii issue simply because kilichofanyika ni mabadiliko ya sheria ya madini ambayo yaliathiri leseni yake leseni yake ilikuwa katika categories ambazo zilifutwa,Mtoa mada usiwe kama vijana wa Chadema ambao uwezo wao wa kujua mambo ni mdogo.
Hii ishi ni ndogo sana, hawa mabebeu hawawezi kutoboa maana ilikuwa ni voidable contract.
Can you elaborate more.... Kwa muktadha huu ikitokea conflict ya clause/sheria mbili ipi inakua superior kwa nyingine?Kimsingi sheria inatambua haki ya Nchi kufanya mabadiliko ya kisheria wakati kukiwa na mikataba tayari ambayo imekwisha ingiwa kwa hilo tunaweza pona.
Siyo lazima madege ya ATCL yaende Afrika ya Kusini kwa sababu Chato International Airport sasa imekamilika na safari zimeanza rasmi kwa Wasukuma kuachana na Musukuma Bus Service for good.Kwani lazima ndege za Atcl ziende South Africa?
Nini hasa kilikuwa kiini cha kufanya mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010? Kama sio kuavoid contract mbovu ambazo hazikuwa manufaa na umma?Sawa I believe tutashinda ila circumstances za voidable contract hazipo applicable kwa hii issue simply because kilichofanyika ni mabadiliko ya sheria ya madini ambayo yaliathiri leseni yake leseni yake ilikuwa katika categories ambazo zilifutwa,
Anachokidai yeye ni kuwa compensated kutokana na fedha alizotumia tayari kwenye mradi.
Jambo la msingi ni kujua ile bilateral contract baina ya canada na tanzania anayodai imevunjwa inasemaje.
Je kulikuwa na freezing clauses kama zilikuwepo tunaweza kuwa held responsible kwa kuvunja mikataba ila
Kimsingi sheria inatambua haki ya Nchi kufanya mabadiliko ya kisheria wakati kukiwa na mikataba tayari ambayo imekwisha ingiwa kwa hilo tunaweza pona.
Hata mwimba pambio unakuja kulia hapa wakati zikitungwa sheria na kanuni za hovyo na zenye madhara mliambiwa mkabeza mkaishia kusifia bado hatujawasahau.Vita ya kiuchumi.
Vita ya kiuchumi.
Kunapotokea marekebisho ya sheria(amendment) hakuwezi kuwa na conflict of clauses kwakua amendment huwa inafanyika kwa a specific clause inamaana sasa ile clause ya zamani inakuwa repealed and replaced by the new clause.Can you elaborate more.... Kwa muktadha huu ikitokea conflict ya clause/sheria mbili ipi inakua superior kwa nyingine?
Haki ya nchi kufanya mabadiliko ya sheria inatambuliwa vipi?Kunapotokea marekebisho ya sheria(amendment) hakuwezi kuwa na conflict of clauses kwakua amendment huwa inafanyika kwa a specific clause inamaana sasa ile clause ya zamani inakuwa repealed and replaced by the new clause.
In cases ya mikataba ya uwekezaji baina ya nchi na makampuni ya nje huwa kunakuwa na clauses zinaitwa freezing clauses hizi zikiwa na lengo la kulinda mikataba hiyo na mabadiliko ya sheria kipindi cha mkataba, hii ni kwa ajili ya kuwapa uhakika wawekezaji wa usalama wa kile walichokubaliana kufanya na nchi husika.
Sasa kama hizo freezing clauses zipo kwenye mkataba nchi ikifanya mabadiliko ya sheria hazita athiri mikataba iliyokuwepo.
Kama freezing clauses hazitakuwepo basi kanuni ya utambuzi wa haki ya nchi kufanya mabadiliko katika Sheria inatumika.