Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

Natumaini wanasheria wetu wa serikali ni wazalendo wa kutosha kutetea maslahi ya nchi.

Wasibabaishwe na virushwa vya milioni 500 wakashindwa kesi makusudi.
Maana naona jamaa wameandaa bajeti ya kupambana kabisa meaning wapo tayari kwa matumizi ya njia zote kuhakikisha wanapata ushindi.
 
Hakuna binadamu mkamilifu , binadamu tumeumbiwa kukosea ukiteleza unainuka na kuendelea na safari.
Kwa hiyo serikali kushitakiwa ni sahihi. Mbona umeleta uzi unalalamika serikali kushitakiwa?
 
Maana naona jamaa wameandaa bajeti ya kupambana kabisa meaning wapo tayari kwa matumizi ya njia zote kuhakikisha wanapata ushindi.
Sio wanapata ushindi bali wanapata haki yao. Mkataba una haki na wajibu, serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake hivyo jamaa wamejipanga kuhakikisha wanatapa HAKI yao.
 
Sio wanapata ushindi bali wanapata haki yao. Mkataba una haki na wajibu, serikali imeshindwa kutimiza wajibu wake hivyo jamaa wamejipanga kuhakikisha wanatapa HAKI yao.
Mpaka tuone Bilateral Investment Treaty baina ya Tanzania na Canada ndio tutakuwa kwenye nafasi ya kusema nani hasa kakosea.
 
Mkuu ,

Usiseme CCM ni ile ile, unapaswa kusema kwamba watanzania tunapaswa kubadilika kwani sio watendaji wote wa serikali ni wanachama wa CCM , serikali kuu umeundwa na wanachama wa vyama mbali Mbali.
Acha uongo, serikali kuu toka lini ikaundwa na wanachama nje ya ccm?
 
Sawa mkuu ila nakupongeza sana maana naona umeamua kuchukua akili yako. You are now a little objective.
Tuko pamoja mkuu, lengo hapa ni kuwa na Tanzania ambayo kila raia anapata haki yake anayostahili.
 
Ndio maana tunataka kupeleka ndege China ambako hazitakamatwa.

Ukiona serikali yoyote imeegemea china ujue ni serikali isiyoheshimu sheria wala taratibu za ndani na za kimataifa, isiyoheshimu haki za binadamu.

CCM haina nia njema na nchi hii.
Akili za Trump changanya na za kwako china ni "wabaya" kweli kweli
 
Maana naona jamaa wameandaa bajeti ya kupambana kabisa meaning wapo tayari kwa matumizi ya njia zote kuhakikisha wanapata ushindi.
Hawa inawezekana Ndio sponsors wa "saccos" na wakimbizi wetu
 
Kuna mambo hayakufanyika sahihi, tujitahidi yasijirudie tena.
Mtoa mada usiwe kama vijana wa Chadema ambao uwezo wao wa kujua mambo ni mdogo.

Hii ishi ni ndogo sana, hawa mabebeu hawawezi kutoboa maana ilikuwa ni voidable contract.
 
kesi tutashinda tu, hawawezi kutushinda kame tumemzimisha Amsterdam mnafiki tutamshindwaje huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…