Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Haya ndugu zangu wapambanaji.

Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.

Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
Screenshot_20230314-142558.png
Screenshot_20230314-142618.png
 
Security Officer ina maana pana.Si lazima awe anashika gongo kulinda eneo au kufungua na kufunga mageti.Naamini anakuwa ni organiser wa Mambo yote ya kiusalama na walinzi wote na tena atafanya na shughuli za kiunganishi na kampuni kwenye mambo ya kisheria kiushsuri na utekelezaji.Ni zaidi ya tunavyolichukulia kiwepesi.Naweza kurekebishwa kama nimempaisha mno.
cc;Mwananchi
 
🤣yani makampuni yanatafuta afisa masoko mwenye elimu ya high school na mshahara laki 8,hawa wanataka mlinzi mwenye degree
Wanayo Mana yao mkuu usiwapangie namna ya kuwaza. Nb tunatofatiana thinking, beliefs,brain and mind Kama physical features
 
Wanayo Mana yao mkuu usiwapangie namna ya kuwaza. Nb tunatofatiana thinking, beliefs,brain and mind Kama physical features
Natambua hilo Mkuu, it's still something weird to me and everyone else , i don't mean to criticize what they do, i was just wondering
 
Hapana,Kuna mlinzi wa mifumo ya komputa,Kuna mlinzi wa Mali zinazolishwa kiwandani zimeuzwa ngapi etecetera
Hapo sawa Mkuu, kama ni mlinzi wa mifumo , akili yangu ikisikia mlinzi kwa hapa nchini kwetu huwa ninawaza wale jamaa wa virungu mostly, post za walinzi wa hivo unaozungumzia niliwahi kuziona Airport tu
 
Labda wamegundua wezi wa kisasa wengine wana master's wengine wana phD
 
Back
Top Bottom