Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

Hapo sawa Mkuu, kama ni mlinzi wa mifumo , akili yangu ikisikia mlinzi kwa hapa nchini kwetu huwa ninawaza wale jamaa wa virungu mostly, post za walinzi wa hivo unaozungumzia niliwahi kuziona Airport tu
Mfano Nimetumia Ila sina uhakika pia nadhani na mindset zetu nadhani ndio tumezi condition ivyo so hakuna Cha ubaya Mana sie tumezoea ivyo
 
Wameona kwankua ata boda boda Siku hizi wanaitwa officer

Jamaa kaona Security Officer akadhani mwamba anakaa getini kufungua milango
Bodaboda wanaitwa transport Officers siku hizi
 
Haya ndugu zangu wapambanaji.

Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.

Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwaView attachment 2550679View attachment 2550680
Ujue kutofautisha Kati ya security officer na security guard!

Ni post zinazoweza kuonekana kurandana lakini zinatofautiana katika majukumu ya utendaji.....

Security officer ni chief incharge kwa huyo security personel/guard.
 
Take note, huyu ni security officer wa kuratibu ulinzi. One can say ni Law enforcing officer ambayo ina degre yake! I stand to be corrected!
Mara nyingi makampuni huwa yana department za Internal security Kwasababu ulinzi Mara nyingi huwa wana-outsource.

Possibly, wanayamtafuta ni security manager kwaajili ya kuratibu outsourced security guards. IMO
 
Not possibly boss...huo ndio uhalisia.
Security Officer ni overall in charge kumanage security issues za office ikiwemo staff security na premises.
walinzi ni part tu ya security management.
 
Daaah hii inchi inawajuaji wengi kwa MO,Bakhresa,Ando, mnasema wanyonyaji. Saizi anahitajika security mwenye Degree mnasema wana zalau degree zenu.
 
Haya ndugu zangu wapambanaji.

Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.

Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwaView attachment 2550679View attachment 2550680
Not security guard. It's Security officer. Kuna tofauti kubwa hapa na mshahara wa hawa watu sio chini ya 2M. Kuna mmoja pale US Embassy analipwa 5.2M
 
Hapo sawa Mkuu, kama ni mlinzi wa mifumo , akili yangu ikisikia mlinzi kwa hapa nchini kwetu huwa ninawaza wale jamaa wa virungu mostly, post za walinzi wa hivo unaozungumzia niliwahi kuziona Airport tu
wewe unachanganya kati ya security guard na security officer,security officer anasimamia hawa security guards yeye ndo anafanya manning,mshahara wa security officer mrefu acha tu,kuna rafiki yangu ni security officer Tazama pipeline take home 2.5 mil
 
Nadhan hamjui majukum ya security officer. Kazi yake ni anakua supervisor wa walinzi kazi yake kusimamia walinzi, ishu zote za usalama katika ofisi au kampuni kama cctv camera nknk.

Kazi yake kuandaa rpoti na kuzituma kwa mabossi . Security officer analamba salary nzuri tu.
 
Back
Top Bottom