Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Inachekesha sana ila ngoja tuone mwisho wake..🤣yani makampuni yanatafuta afisa masoko mwenye elimu ya high school na mshahara laki 8,hawa wanataka mlinzi mwenye degree
KK security wanalipa laki 3.remuneration
Itakua sio 150,000
Hopefully
Take note, huyu ni security officer wa kuratibu ulinzi. One can say ni Law enforcing officer ambayo ina degre yake! I stand to be corrected!🤣yani makampuni yanatafuta afisa masoko mwenye elimu ya high school na mshahara laki 8,hawa wanataka mlinzi mwenye degree
Saii unaweza kuw na degree Kam tu hunaa....so sad kwakwelDegree zinadhalilishwa sana
Security officer ni management post.Degree zinadhalilishwa sana
NDIO maana Nikasema ITAKUA SIO 150,000/=KK security wanalipa laki 3.
hawa The citizen ndio walipe mshahara huo?
Yes ni kama vile auxiliary police postSecurity officer ni management post.
Nadhani yeye atakuwa mkuu wa walinzi na kusimamia miundombinu inayohusika na ulinzi n.k.
Wanayo Mana yao mkuu usiwapangie namna ya kuwaza. Nb tunatofatiana thinking, beliefs,brain and mind Kama physical features🤣yani makampuni yanatafuta afisa masoko mwenye elimu ya high school na mshahara laki 8,hawa wanataka mlinzi mwenye degree
Natambua hilo Mkuu, it's still something weird to me and everyone else , i don't mean to criticize what they do, i was just wonderingWanayo Mana yao mkuu usiwapangie namna ya kuwaza. Nb tunatofatiana thinking, beliefs,brain and mind Kama physical features
Hapana,Kuna mlinzi wa mifumo ya komputa,Kuna mlinzi wa Mali zinazolishwa kiwandani zimeuzwa ngapi eteceteraNatambua hilo Mkuu, it's still something weird to me and everyone else , i don't mean to criticize what they do, i was just wondering
Hapo sawa Mkuu, kama ni mlinzi wa mifumo , akili yangu ikisikia mlinzi kwa hapa nchini kwetu huwa ninawaza wale jamaa wa virungu mostly, post za walinzi wa hivo unaozungumzia niliwahi kuziona Airport tuHapana,Kuna mlinzi wa mifumo ya komputa,Kuna mlinzi wa Mali zinazolishwa kiwandani zimeuzwa ngapi etecetera
Haya ndugu zangu wapambanaji.
Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.
Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwaView attachment 2550679View attachment 2550680