Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mfano Nimetumia Ila sina uhakika pia nadhani na mindset zetu nadhani ndio tumezi condition ivyo so hakuna Cha ubaya Mana sie tumezoea ivyoHapo sawa Mkuu, kama ni mlinzi wa mifumo , akili yangu ikisikia mlinzi kwa hapa nchini kwetu huwa ninawaza wale jamaa wa virungu mostly, post za walinzi wa hivo unaozungumzia niliwahi kuziona Airport tu
Wameona kwankua ata boda boda Siku hizi wanaitwa officerNi shule gani walikufundisha security officer ni mlinzi....
Wameona kwankua ata boda boda Siku hizi wanaitwa officer
Ujue kutofautisha Kati ya security officer na security guard!Haya ndugu zangu wapambanaji.
Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.
Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwaView attachment 2550679View attachment 2550680
Mara nyingi makampuni huwa yana department za Internal security Kwasababu ulinzi Mara nyingi huwa wana-outsource.Take note, huyu ni security officer wa kuratibu ulinzi. One can say ni Law enforcing officer ambayo ina degre yake! I stand to be corrected!
Mara nyingi makampuni huwa yana department za Internal security Kwasababu ulinzi Mara nyingi huwa wana-outsource.
Possibly, wanayamtafuta ni security manager kwaajili ya kuratibu outsourced security guards. IMO
Isingekuwa x wangu kuwa hapo ningeomba kazi ya ulinzi
Not security guard. It's Security officer. Kuna tofauti kubwa hapa na mshahara wa hawa watu sio chini ya 2M. Kuna mmoja pale US Embassy analipwa 5.2MHaya ndugu zangu wapambanaji.
Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.
Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwaView attachment 2550679View attachment 2550680
wewe unachanganya kati ya security guard na security officer,security officer anasimamia hawa security guards yeye ndo anafanya manning,mshahara wa security officer mrefu acha tu,kuna rafiki yangu ni security officer Tazama pipeline take home 2.5 milHapo sawa Mkuu, kama ni mlinzi wa mifumo , akili yangu ikisikia mlinzi kwa hapa nchini kwetu huwa ninawaza wale jamaa wa virungu mostly, post za walinzi wa hivo unaozungumzia niliwahi kuziona Airport tu