Kampuni ya Magnis ya Australia yaitumia Graphite ya Ruangwa kupata bilioni 816

Finance ni kitu cha kawaida kwenye international business, hasa kwenye mining, oil and gas nk.

Ili upate finance lazima uonyeshe geological data na mathematical proof kifupi numbers lazima zifanye kazi ndio hela zitoke.

Hakuna namna hizi international financial institutions zinaweza kumuamini Mwafrica, sababu ni rahisi tu, hatuna ukweli na janjajanja sana.

Tiba pekee itakayomsaidia Mwafrica ni uwekezaji kwenye maarifa kichwani na kujenga uwezo miongoni mwetu waAfrica kutrade wenyewe kwa wenyewe, hapo tunaweza kuwa na financial institutions zetu zenye misuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…