Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

Warabu tunao awamu hii, allahmdudillah.
 
tushawashtukia ila nakuhakikishia Tanganyika ni imara na itasimama huo mpango wao wa kutaka tufanane nao hautofanikiwa
kumaamaae tutachinjana. miktaba mingi mbona imeingiwa na wachina na nchi nyingi za ulaya mbona hamkusema kuwa hamtaki .ila kisa muarabu ndoo nongwa sio. sasa na sisi waislamu tumewashtukia michezo yenu. ngoja tuchinjane ili adabu ikae sawa mamaae zenu. nyuzi hapa naguful kabla hajafa si aliwapa wazungu mgodi wa nickel huko ngara kabanga? mbona hamkusema? mbwa nyiee . sasa mwageni ugali tumwage mboga tumewavumlia tumechoka
 
Safi sana , Waarabu ndio Wana pesa Kwa Sasa achana na vibwengo wengine
 
nchi alipewa julias nyerere msomi wa seminary , watu akawafanya misukule wanatembea na viraka matakoni, wanapanga foreni kupata kilo ya sukar. kaja Mwinyi kasema huu ujinga karuhusu watu wawe huru . wakaanza kuona tv , kuvaa vizuri
 
Ndio wameshasaini na huo mkataka wa Pili ipo mingine 35 yote bado kuanza kazi tu kwa hio subiri waarabu waje wajomba wa Oman na Qatar walimpa Bibi connection ya UAE sasa anaitendea kazi

Alhabib rakatel
Amesain ila itamtokea puani ni swala mda
 
Tumechelewa sana... Kanyaga twende.... (Alisikika kijana mmoja ambaye anatoka jeshi la Nyuki wa mama)
nyiee hamna akili. kilsa siku mnasema mama anazurula ulaya . sasa mtwambie huko ulaya hakuna mikataba anayoingia na hayo mataifa? mbona humuisemi? mmekalia mikata ya warabu. au labda mtwambie ziara za raisi anaendaga kwa warabu tu.
 
Kwahiyo mikataba ya waarabu tusizungumzie sio?
 
nyiee hamna akili. kilsa siku mnasema mama anazurula ulaya . sasa mtwambie huko ulaya hakuna mikataba anayoingia na hayo mataifa? mbona humuisemi? mmekalia mikata ya warabu. au labda mtwambie ziara za raisi anaendaga kwa warabu tu.

Siyo kutokuwa na akili au kuwa na akili kinachozungumziwa ni kuwa mikataba haiwekwi wazi Kwa watanzania Kama mimi na wewe tujue, wanafanya mikataba kujinufaisha wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…