Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
itapendeza Sana, Tena mama aruhusu wanawake wavae niqab na wanaume wavae kanzu.Tuipendekeze iwe salamu rasmi ya taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itapendeza Sana, Tena mama aruhusu wanawake wavae niqab na wanaume wavae kanzu.Tuipendekeze iwe salamu rasmi ya taifa
Apumzike tu la sivyoLabda atakae mrithi Samia awe kutoka msoga au hawa minions kwenye baraza lake la mawaziri. Vinginevyo akija mzalendo kama Magufuli atakutana na mikataba ya ovyo kibao.
Maza amesha haribu nchi vya kutosha; busara ni watu kumtoa Ikulu 2025.
Mkuu kwa nini tanesco hawawezi ama hawatawezaWatanzania mnatukanana bure na kuchagua upande kwa watu ambao wenyewe ni washirika nyuma ya pazia.
Masdar anamiliki Arlington Energies; kampuni inayotengeneza batteries za kuhifadhi renewable energies yenye makao makuu uingereza.
Huo uwekezaji unaipa biashara kampuni zake kuuza hizo batteries na solar panels ambazo hazipo UAE. Watakaofaidika ni waingereza kupata ajira na kodi, Masdar yeye huko anabaki na retained earnings after tax na sehemu kubwa anaacha huko huko uingereza to fund growth ya Arlington.
Ukipekuwa funds ya kuwekeza Tanzania na kwenyewe inatoka wapi utakuta hizo hela azitoki mfukoni kwao. Chances are kuna nyuma yao kuna kampuni ya kizungu inayochafua mazingira huko kwao, kupunguza gharama carbon taxes inatafuta carbon trade off deals kwa ivyo watachangia kuchukua carbon credentials na kupunguza kodi wanazolipa huko.
Wawekezaji wengine ni banks za uarabuni au EU au US; wanaotafuta biashara it’s good opportunity maana serikali ya Tanzania inaweka guarantee ya kununua huo umeme regardless kwa ivyo ni rahisi kwa Masdar kupata mikopo ya kufanya huo uwekezaji.
Sasa nyie kutukanana na kuchagua upande kati ya wazungu na waarabu ni ulimbukeni uliopitiliza; wakati hao watu wanaungana kwenye kuinyonya damu nchi.
Busara ni kupima faida ya mradi kwa mradi na faida zake na kuchagua kuutetea au kuupinga kutokana na maslahi yake kwa nchi.
Lakini kufikiria kwa muarabu na mzungu yupi bora ni upopoyo uliopitiliza. Baada ya kusema haya huo uwekezaji ni mmbaya mno Tanzania aihitaji haya mambo kwa sasa; given TANESCO financial position they can’t afford it ni kuwatengenezea walipa kodi madeni huko mbele yasiyo na lazima.
Hoja hapo ni Financial position yao kwa sasa.Mkuu kwa nini tanesco hawawezi ama hawataweza
Freemason wanazungumziaje hili swala?As salaam alaikum 😊
Nyie jamaa wadini sana. Halafu mtiana hofu za kinafki ambazo hazina sababu. Nyie mnatumika sana na mafisadi wanaooggopa mwekezaji kuweka mifumo imara ya kudhibiti ufisadi ambapo hawatoweza kupata mali za haramu kama sasa.tushawashtukia ila nakuhakikishia Tanganyika ni imara na itasimama huo mpango wao wa kutaka tufanane nao hautofanikiwa
Warabu wabaguzi Wewe Sisi tunawajua,,Tunafanya NAO KAZI.. Hapa hatuvamii Dini Bali Tabia ya MTU.Nyie jamaa wadini sana. Halafu mtiana hofu za kinafki ambazo hazina sababu. Nyie mnatumika sana na mafisadi wanaooggopa mwekezaji kuweka mifumo imara ya kudhibiti ufisadi ambapo hawatoweza kupata mali za haramu kama sasa.
Wewe kama ni kafiri utabaki hivyo labda utake kusilimu mwenyewe siyo eti kuajiriwa lazima uwe na jina la kiislamu. Acheni hizo.
Akina BalileAlafu watakuja kusema Magufuli ndiyo ameuza kipindi chake hii nchi ngumu sana
Ova
Italeta ufanisi sana ili kuwa na shirika kubwa la habariTBC Tuwape Algezira kuboresha technllogia ya utangazaji
Hii mbona tayari mkuu. Utasikia mkurugenzi wa TBC anaitwa Sheikh Abdullah Al-shitman Al-Thief.TBC Tuwape Algezira kuboresha technllogia ya utangazaji
Naona watanzania wameunga mkono hoja.. nape where are u? Kuna biashara huku uza TBC hiyoItaleta ufanisi sana ili kuwa na shirika kubwa la habari
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mikataba mibovu haifai.. haijalishi kaingia na nani!! Au wewe kijukuu cha mtume cha hiyari? Sisi tunaongelea usalama wa rasilimali za watanzania, na lengo kunufaisha wa tanzania wewe naona unataka kuleta udini hapa....nyiee hamna akili. kilsa siku mnasema mama anazurula ulaya . sasa mtwambie huko ulaya hakuna mikataba anayoingia na hayo mataifa? mbona humuisemi? mmekalia mikata ya warabu. au labda mtwambie ziara za raisi anaendaga kwa warabu tu.
😀😀😀😀 Bado hawajatoa tamko.Freemason wanazungumziaje hili swala?