R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jun 20, 2023 #141 Kumaliza vizuri ni Bora kuliko kuanza vizuri. KATIBA mpya inaandikwa Kwa Wino wa Dhahabu. Mungu ibariki TANZANIA. Amen.
Kumaliza vizuri ni Bora kuliko kuanza vizuri. KATIBA mpya inaandikwa Kwa Wino wa Dhahabu. Mungu ibariki TANZANIA. Amen.
B Bhisumbinyama JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 797 Reaction score 581 Jun 20, 2023 #142 Mwafilombe 22 said: Warabu wabaguzi Wewe Sisi tunawajua,,Tunafanya NAO KAZI.. Hapa hatuvamii Dini Bali Tabia ya MTU. Click to expand... Kuna wabaguzi na wakabila wanaozidi wahaya, wachaga na wahindi? Waarabu wangekuwa wabaguzi wageishi vijijini huko Urambo , kahama na kibondo? Acha kuwasingizia
Mwafilombe 22 said: Warabu wabaguzi Wewe Sisi tunawajua,,Tunafanya NAO KAZI.. Hapa hatuvamii Dini Bali Tabia ya MTU. Click to expand... Kuna wabaguzi na wakabila wanaozidi wahaya, wachaga na wahindi? Waarabu wangekuwa wabaguzi wageishi vijijini huko Urambo , kahama na kibondo? Acha kuwasingizia