Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi.
Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha, nikasema hii siyo huduma ambayo ipo toka muda mrefu? Je, dhamana ya serikali ni nini? Wanafanya biashara?
Tuishi kwa akili, hapa kwa Tz tutapigwa soon.