Kampuni ya Nokia ilikuja na toleo jipya la simu ambazo hununui kwa pesa tasilimu bali unakopeshwa na kulipa kwa miezi sita; tusidanganywe

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi.

Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha, nikasema hii siyo huduma ambayo ipo toka muda mrefu? Je, dhamana ya serikali ni nini? Wanafanya biashara?

Tuishi kwa akili, hapa kwa Tz tutapigwa soon.
 
Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo NI vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi. Hii huduma siyo ya serikali ni huduma ya kampuni ya simu Kwa lengo la kupanua masoko.....nimemsikia waziri alkisema wanakopesha nikasema hii siyo huduma ambayo ipo toka muda mrefu? Je dhamana ya serikali NI nn? Wanafanya biashara?

Tuishi Kwa akili hapa Kwa Tz tutapigwa soon
Wanaenda kuwauzia wajinga uko vijijini
 
Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi.

Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha, nikasema hii siyo huduma ambayo ipo toka muda mrefu? Je, dhamana ya serikali ni nini? Wanafanya biashara?

Tuishi kwa akili, hapa kwa Tz tutapigwa soon.
Umeandika kama vile wote tunafuatilia habari za mawaziri
 
Back
Top Bottom