Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania.

Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.

Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.

Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...
 
Mzee, sio kwamba Xiaomi wamefunga biashara Tanzania hapana,, bali wamefunga offisi zao kwa sku ya leo (jumapili) hawafanyi kazi. Huoni hapo mbele pameandikwa "opens on monday 09:00". Ukitaka kuamini maneno yangu basi kesho saa nne asubuh tembelea tena huo ukurasa kama utakutana na neno "closed"

Naona watu mnasapoti tuuuh!
 
Mkuu tuliza kichwa soma vizuri
 
Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...
Chunguza simu yako mkuu inaandika badala yako baadhi ya maneno.

Hariri kabla hujapost
 
Acheni utani jamani! Xiaomi wapo Tz [emoji2375][emoji2375][emoji2375]
Ngoja niwahi nikajipatie Xiaomi mi note 11 haraka sana.
 
Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...

Nilikuwa naiskiaskia tu Iphone, Iphone. Watu wanaisifia!

Juzi kati nikaletewa zawadi, Iphone 8+ safiiii!
Sasa kilichotokea hamuwezi amini...

Yaani hii simu ni kama jela fulani tu hivi ya kifahari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…