Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

Kwa Samsung sisi Region yetu inaitwa EMEA, yaani Europe, Middle East na Africa, simu za ulaya, Nchi za Kiarabu na huku Kwetu zinafanana.

Most of time bootloader inakuwa haipo locked, zinatumia exynos, hazitoki mitandao ya simu etc?
Nilinunua simu ya Samsung Europe ilikuwa locked, the other time nimeenda nikanunua nyingine nikaambiwa lazima niitumie kule for not less than 10 days ndipo inaweza kufanya kazi huku
 
Xiaomi hana simu za Africa, zile zile za ulaya ndio zinauzwa kwetu kama Samsung. Wanaotoa vimeo kwa ajili ya Africa ni kama Huawei, Oppo, Vivo, at some point LG aliwahi, etc.
but wana toleo wanaliita 'Global ROM'

Model hizi ni universal popote dunia

For information: Nairobi tayar wamefungua Mi-Shop ambapo ina simu latest kabisa
 
but wana toleo wanaliita 'Global ROM'

Model hizi ni universal popote dunia

For information: Nairobi tayar wamefungua Mi-Shop ambapo ina simu latest kabisa
Global sasa ndio mainstream na Chinese rom ni chache.
 
Nilinunua simu ya Samsung Europe ilikuwa locked, the other time nimeenda nikanunua nyingine nikaambiwa lazima niitumie kule for not less than 10 days ndipo inaweza kufanya kazi huku
Bila details zaidi inakuwa ngumu kujua, zipo ambazo ni locked, sema zinalokiwa kama tigo na Voda wanavyo lock simu hapa Tanzania, inakuwa ni simu ile ile bootloader ipo unlocked, pengine kuitoa lock unaweka tu code kadhaa inatoka.

Ukisikia Simu za Tmobile ama Verizon ama Docomo, ama China mobile etc, hizo ni simu tofauti kabisa, kuanzia kiwandani zinatengenezwa kwa ajili ya mtandao fulani, mfano za Verizon ama sprint hazina 3g ya kwetu zinakuwa na CDMA, T mobile ina band 1700 tu etc. Kifupi ni pasua kichwa.
 
Habari nzuri, zile Camon za laki 6 simu za design zile Xiaomi anauza chini ya laki 3.
Tu - suggest - ie mkuu hapa zipi nzuri za mid range na za bei kidogo mkuu.. katika mambo haya nondo zako noma sana mkuu
 
Back
Top Bottom