Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...
Ni kweli mkuu nilikuwa natumia redmi y2 nilikuwa nikicheza game online hata cm ikiwa inaongea game linaendelea bila kukwama kwama, nzuri zaidi ya hii samsung A10s.
 
Hiyo simu nzuri sana hata Android yake ipo poa na ina speed nzuri kwenye net nimeikubali hata matoleo yake mapya...
 
Sawa sijakataa, ila kinachonipa shida ni pale unasikia "for Africa" "for Europe" etc
Xiaomi hana simu za Africa, zile zile za ulaya ndio zinauzwa kwetu kama Samsung. Wanaotoa vimeo kwa ajili ya Africa ni kama Huawei, Oppo, Vivo, at some point LG aliwahi, etc.
 
Samsung!!!
 
Back
Top Bottom