Ni kweli mkuu nilikuwa natumia redmi y2 nilikuwa nikicheza game online hata cm ikiwa inaongea game linaendelea bila kukwama kwama, nzuri zaidi ya hii samsung A10s.Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...
Why not tena store mbili play store na get apps amaizingXiaomi zina Playstore?
Hiyo simu nzuri sana hata Android yake ipo poa na ina speed nzuri kwenye net nimeikubali hata matoleo yake mapya...Ni kweli mkuu nilikuwa natumia redmi y2 nilikuwa nikicheza game online hata cm ikiwa inaongea game linaendelea bila kukwama kwama, nzuri zaidi ya hii samsung A10s.
Hahaaahaah nimecheka kinyama! Huyu hana tofauti na yule MkalimaniMkuu tuliza kichwa soma vizuri
Habari nzuri, zile Camon za laki 6 simu za design zile Xiaomi anauza chini ya laki 3.Kwani Chief-Mkwawa anasemaje?
Usitoe siriJiwe kaondoka wawekezaji wameanza kuja
High end smartphones zao nzuri sana na bei wana mreplace huaweiSawa Mchina
Tatizo hawaaminikiNgoja tuone...!
Ipo.Xiaomi zina Playstore?
Ulaya na marekani wanaziamini na zinasoko kubwa pia kumbuka Xiaomi model zimeanza kuunzwa nje ya Africa Kwa miaka miaka mingiTatizo hawaaminiki
Hahaaa huyu alichelewa yeye tu kuzijua xiaomi mzee hajui tulianza kitambo tu hiz inshuUlaya na marekani wanaziamini na zinasoko kubwa pia kumbuka Xiaomi model zimeanza kuunzwa nje ya Africa Kwa miaka miaka mingi
Sawa sijakataa, ila kinachonipa shida ni pale unasikia "for Africa" "for Europe" etcUlaya na marekani wanaziamini na zinasoko kubwa pia kumbuka Xiaomi model zimeanza kuunzwa nje ya Africa Kwa miaka miaka mingi
Xiaomi hana simu za Africa, zile zile za ulaya ndio zinauzwa kwetu kama Samsung. Wanaotoa vimeo kwa ajili ya Africa ni kama Huawei, Oppo, Vivo, at some point LG aliwahi, etc.Sawa sijakataa, ila kinachonipa shida ni pale unasikia "for Africa" "for Europe" etc
Samsung!!!Xiaomi hana simu za Africa, zile zile za ulaya ndio zinauzwa kwetu kama Samsung. Wanaotoa vimeo kwa ajili ya Africa ni kama Huawei, Oppo, Vivo, at some point LG aliwahi, etc.