Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwa Samsung sisi Region yetu inaitwa EMEA, yaani Europe, Middle East na Africa, simu za ulaya, Nchi za Kiarabu na huku Kwetu zinafanana.Samsung!!!
Nilinunua simu ya Samsung Europe ilikuwa locked, the other time nimeenda nikanunua nyingine nikaambiwa lazima niitumie kule for not less than 10 days ndipo inaweza kufanya kazi hukuKwa Samsung sisi Region yetu inaitwa EMEA, yaani Europe, Middle East na Africa, simu za ulaya, Nchi za Kiarabu na huku Kwetu zinafanana.
Most of time bootloader inakuwa haipo locked, zinatumia exynos, hazitoki mitandao ya simu etc?
but wana toleo wanaliita 'Global ROM'Xiaomi hana simu za Africa, zile zile za ulaya ndio zinauzwa kwetu kama Samsung. Wanaotoa vimeo kwa ajili ya Africa ni kama Huawei, Oppo, Vivo, at some point LG aliwahi, etc.
hauko serious.Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...
Global sasa ndio mainstream na Chinese rom ni chache.but wana toleo wanaliita 'Global ROM'
Model hizi ni universal popote dunia
For information: Nairobi tayar wamefungua Mi-Shop ambapo ina simu latest kabisa
Bila details zaidi inakuwa ngumu kujua, zipo ambazo ni locked, sema zinalokiwa kama tigo na Voda wanavyo lock simu hapa Tanzania, inakuwa ni simu ile ile bootloader ipo unlocked, pengine kuitoa lock unaweka tu code kadhaa inatoka.Nilinunua simu ya Samsung Europe ilikuwa locked, the other time nimeenda nikanunua nyingine nikaambiwa lazima niitumie kule for not less than 10 days ndipo inaweza kufanya kazi huku
Tu - suggest - ie mkuu hapa zipi nzuri za mid range na za bei kidogo mkuu.. katika mambo haya nondo zako noma sana mkuuHabari nzuri, zile Camon za laki 6 simu za design zile Xiaomi anauza chini ya laki 3.
Kwa kenyaTu - suggest - ie mkuu hapa zipi nzuri za mid range na za bei kidogo mkuu.. katika mambo haya nondo zako noma sana mkuu