Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Yes,Kawaida baadhi ya mitandao wanazuia matumizi bila kifurushi, so ni mpaka uruhusu, unaweza kuwa na Salio la kawaida lakini ukipiga simu hazitokinor kutuma txt na kuperuzi,
Hii husaidia hata kama unakuwa online bundle likiisha Salio la kawaida halitumiki.
hili nalo neno mkuu 👊
waziri wakati fulani kulikua na malalamiko ya bandle, akasema wengi hatuna ujuzi na uelewa wa kutosha dhidi ya matumizi mujarabu ya bandle na ya simu janja. Sasa nadhani wazo lako pia wengi hatuna awareness nalo vya kutosha huku tukilalamikia mtandao kumbe tatizo liko kwetu wenyewe...