Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Tufanyeje na tech yetu ni duni?Sasa huwoni kuwa tunapigwa hapa mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanyeje na tech yetu ni duni?Sasa huwoni kuwa tunapigwa hapa mkuu??
Umeona kazi iyo mkuu nchi yetu ina wajinga sana walahiWazungu zao hawachimbi kazi kutafuta kwa watu zikiisha mwaka 2100 wanaanza chimba zao.
Tufanyeje na tech yetu ni duni?
Mkuu kila madini ni ya muhimu kulingana na mahitaji ya tech inavyokuwa.Hakukuwa na haraka na hayo madini
Sasa nimeelewa kwa nini Kamara kafunga safari kuja Tanzania, wamarekani hawanaga safari za hasara hasaraKampuni ya Lithium Inc ya Marekani imefanikiwa kufanya Ugunduzi Mkubwa wa Madini ya Lithium kwenye maeneo mawili yaliyo jirani na mlima Kilimanjaro...
Ila ulitaka uchelewe au? Hii ni aina nyingine ya upumbavuHakukuwa na haraka na hayo madini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani ukisomea ndio inakuaje? Wao Wana umiliki sehemu kubwa maana ndio wamefanya utafiti na kugundua na ndio wataweka mtaji wa kuchimba na ndio Wana soko..Daaah sasa ayo madini wameyagundua wao inamaana tayari niya kwao? Hivi nani katuloga, Raisi samia kama upo huku angalia haya mambo aisee...
Uone manufaa ya Moja kwa Moja umegundua wewe?Nikikumbuka mambo ya ugunduzi wa gas huko mtwara, na taifa hatuoni manufaa yoyote ya moja kwa moja ya hiyo gas! Basi najikuta nasoma taarifa hii as if nasoma story za kina madenge na baba ubaya tu.
Kwani mwenye umiliki wa Lithium ya Hombolo ni nani mkuuKwa hiyo waliyoko hombolo wahamie huko
Ova
Haaaaa unataka muondoa mzee swali na mushi hapo hombolo niniKwa hiyo waliyoko hombolo wahamie huko
Ova
Kwani Marekani wako Tanzania baada ya Kamala? Si wapo kitambo tuu kwenye sekta mbalimbali sio Madini tuu..Sasa nimeelewa kwa nini Kamara kafunga safari kuja Tanzania, wamarekani hawanaga safari za hasara hasara
Ni mzungu ila hii ya Moshi ni reserves kubwa kuliko ya HomboloHaaaaa unataka muondoa mzee swali na mushi hapo hombolo nini
Uone manufaa ya Moja kwa Moja umegundua wewe?
Tenda hizo serikali huwa wanatoa vibari Mzee sio wanakuja tu sisi hatuna technology ya kutafuta hizo mamboHawa wazungu wamegundua inamaana walikuwa wanafanya tafiti kwenye iyo ardhi apo moshi? Na kama ndio serikali ilikuwa inajua kuhusu hili? Mwisho wa siku tutakuja kuuzwa kwenye nchi yetu wenyewe how come marekani anafanya tafiti kwenye nchi yetu? Hivi kuna mtu anaweza kwenda marekani akaanza kufanya tafiti ndani ya taifa lao na akawa salama?
Ila ulitaka uchelewe au? Hii ni aina nyingine ya upumbavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani ukisomea ndio inakuaje? Wao Wana umiliki sehemu kubwa maana ndio wamefanya utafiti na kugundua na ndio wataweka mtaji wa kuchimba na ndio Wana soko..
Wewe una nini Hadi upate Haki sawa? Subiria mrahaba,Kodi ndogo ndogo na CSR basi.