Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro

Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro

Daaah sasa ayo madini wameyagundua wao inamaana tayari niya kwao? Hivi nani katuloga, Raisi samia kama upo huku angalia haya mambo aisee..... pelekeni vijana wakasome haya madini ilikuwa hazina ya badae kwa watoto na wajukuu zetu..... hivi mkimaliza kila kitu kwa miaka hii michache huko badae watoto wetu watajivunia nini kwenye nchi yao??? Huu uroho wa pesa watauza utu wetu

Na hawa wazungu sio kama walikuwa hawajui iyo mali iko hapo..... walikuwa wanajua waliaubiri muda muafaka na kwavile matozo ndo anashika usukani atafurahia ila hapa tunapigwa tena na kitu kizito!!!!

Wangesoma vijana wetu wangekuja kufaidika wao na taifa lao hizi haraka niza nini? RAISI SAMIA em angalia haya mambo hii sio sawa hawa mbuzi niwakufukuza waende kufanya tafiti kwao
We mbona mjinga Sana!!..una umri gani na shule ulipita!?
 
Mwaka 1958 Chaggaland ilishapewa provisional autonomy/independence ikiwa ni juhudi za Mangi Mkuu Marealle. Kulikuwa na bunge (The Chagga Council), jeshi, baraza la mawaziri, ikulu nk. Kulikuwa na ubalozi wa Zanzibar kule Old Moshi na mengine mengi.

Hamjanielewa tu nataka kusema nini?

Hatutakubali hiyo Lithium ilete balaa kama huko Congo.

Hatutakubali watu wa K’Njaro wabaki maskini huku wakiachiwa mashimo matupu.

Hatutakubali yatokee yaliyotokea kwa kahawa. Faida kubwa ilikwenda kuendeleza kwingineko na kuwaacha wenyeji maskini.

Yapo mengi.

Watu wa K’Njaro rudini kuendeleza mkoa wenu unarudi nyuma sana. Wekezeni kwenu pia kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Hawa wazungu wamegundua inamaana walikuwa wanafanya tafiti kwenye iyo ardhi apo moshi? Na kama ndio serikali ilikuwa inajua kuhusu hili?

Mwisho wa siku tutakuja kuuzwa kwenye nchi yetu wenyewe how come marekani anafanya tafiti kwenye nchi yetu? Hivi kuna mtu anaweza kwenda marekani akaanza kufanya tafiti ndani ya taifa lao na akawa salama?
Tafiti zote hufanywa baada ya maombi ya leseni ya utafiti kutoka Wizara ya Madini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Duuh.
Kabla ya utafiti lazima pawepo na taarifa za awali za viashiria vya madini toka kwa wataalamu wa miamba/ madini.

Ndipo inatangazwa tenda ya kufanya utafiti.
MAjibu ya utafiti ni mali ya serikali ya Tanzania ili ifanye maamuzi kutafuta mbia au mwekezaji/mchimbaji
Ila hapa tafiti imefanywa na kampuni binafsi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Useless hamna chochote maana sio sehemu ya kwanza kila kona ebu kumbukeni gas kule mtwara Ina nn mpaka sasa...Hapo labda watu wachimbe binafsi kaka Mererani ila sio kwa serikali hiii..

Halafu sio madini Yale ya maana ni kawaida bado sio precious metals kama Gold ...

Yaani ton moja unapata around $60,000 kazi kichaa yaani kulisha mgodi upate ivyo kwa ton.

Laizer jiwe tu la kushika na mkono kapta mabillion hayo madini useless kama makaa ya mawe ..

Kikubwa wainvest wenyewe ila kwa mbongo atakula hasara aje kuyauza kama raw materials hayana thamani atakula hasara
Umeshiba ugali, unaropoka tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kampuni ya Lithium Inc ya Marekani imefanikiwa kufanya Ugunduzi Mkubwa wa Madini ya Lithium kwenye maeneo mawili yaliyo jirani na mlima Kilimanjaro.

Ugunduzi huo unatajwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya Nchi 10 Zenye Madini ya Lithium Duniani.

==========

A US-based company has joined the list of multinationals looking for a slice of Tanzania’s lithium reserves

A US-based company has joined the list of multinationals looking for a slice of Tanzania’s lithium reserves
  • US company Titan Lithium Inc. is attempting to strengthen its position in Tanzania owing to the discovery of large lithium reserves in the country.
  • The preliminary findings from two separate soil geochemical samplings conducted in Tanzania were described as encouraging.
  • The new discoveries surpass earlier lithium finds discoveries in Tanzania confined to Mohanga, a region in central Tanzania close to Dodoma.

Following the discovery of lithium deposits south of Mount Kilimanjaro with large enough reserves to make Tanzania a global market leader for the increasingly popular mineral, US company Titan Lithium Inc. is attempting to strengthen its position in Tanzania.

This past week, the US-based company released preliminary findings from two separate soil geochemical samplings conducted in two locations that straddled the Kilimanjaro and Arusha regions, indicating high lithium grades up to 2.79 percent lithium oxide.

The results were "encouraging enough," to warrant additional investigation, the Titan Lithium Chairman Harp Sangha noted. He was quoted as saying, "we're still at a preliminary stage but are now committed to start pursuing formal drilling approvals from the authorities.

All of this could take time, so we can’t commit to any specific timelines to start proper drilling." The new discoveries surpass earlier lithium finds discoveries in Tanzania confined to Mohanga, a region in central Tanzania close to Dodoma, where at least two Australian multinational companies have stakes.

In Mohanga, lithium deposits with values greater than 1.5% lithium oxide was discovered by Liontown Resources in 2017. Cassius Mining Ltd. purchased prospecting licenses covering about 300 square kilometers in the same region in July 2022. About 200 square kilometers are occupied by the Titan 1 and Titan 2 project areas in the Mt. Kilimanjaro region. Surface samplings have revealed high-value lithium over a wide area, according to Sangha, and they are still working to define the discovery's boundaries throughout the entire region.

Additionally, he claimed that the region was developing into a "repository for a vast area of volcanic ash collection," which would make for a lithium-rich environment. The larger Titan 1 prospect is compared to Titan Lithium's primary West End Lithium project in Nevada, the US, which the company claims is "one of the largest lithium resources in the world, both morphologically and depositionally.

Source: Africa Business Insider


Sasa mlima wetu Kilimanjaro kwishnei.
 
Tuige Wazimbabwe
 
Kuna jambo hujanielewa.

Huwezi kwenda kwa mtu umlazimishe kuuza ardhi.

Tunaposema ardhi ni mali ya serikali ni pale panapotokea ardhi inahitajika kwa matumizi ya umma kama shule, hosptital au uchimbaji madini ndipo serikali itakufidia uhamie kwingine.

Sio raia uende kulazimisha kununua.

Mchaga hauzagi ardhi kizembe...akitaka kuuza watauziana ndani ya ukoo lakini sio mtu wa kuja
Wewe ni muongo...msiwe unakariri porojo tu
 
Daaah sasa ayo madini wameyagundua wao inamaana tayari niya kwao? Hivi nani katuloga, Raisi samia kama upo huku angalia haya mambo aisee. Pelekeni vijana wakasome haya madini ilikuwa hazina ya badae kwa watoto na wajukuu zetu. Hivi mkimaliza kila kitu kwa miaka hii michache huko badae watoto wetu watajivunia nini kwenye nchi yao??? Huu uroho wa pesa watauza utu wetu

Na hawa wazungu sio kama walikuwa hawajui iyo mali iko hapo. Walikuwa wanajua waliaubiri muda muafaka na kwavile matozo ndo anashika usukani atafurahia ila hapa tunapigwa tena na kitu kizito!

Wangesoma vijana wetu wangekuja kufaidika wao na taifa lao hizi haraka niza nini? RAISI SAMIA em angalia haya mambo hii sio sawa hawa mbuzi niwakufukuza waende kufanya tafiti kwao
Vijana wamesoma miaka mingi chuo UDSM shahada ya jiologia mbona? Si ndio wanafanya kazi ktk migodi na kampuni za utafiti. Wengi pia wamesomea uhandisi wa migodi (mining engineeerig) nchi mbalimbali nao wanatumika vivyo hivyo. Tuseme sasa hawa na wanaosomea chuo cha madni Dodoma watapata kazi
 
Hawa wazungu wamegundua inamaana walikuwa wanafanya tafiti kwenye iyo ardhi apo moshi? Na kama ndio serikali ilikuwa inajua kuhusu hili?

Mwisho wa siku tutakuja kuuzwa kwenye nchi yetu wenyewe how come marekani anafanya tafiti kwenye nchi yetu? Hivi kuna mtu anaweza kwenda marekani akaanza kufanya tafiti ndani ya taifa lao na akawa salama?
Ndugu hakuna utafiti km wa aina hiyo unafanyika bila serikali kujua. Awe mgeni (kampuni) au mwenyeji.

Hivyo kuuliza serikali haijui ni ufinyo tu wa kufikiria, ww unadhani wanaweza vipi kutembea maeneo hayo kitafiti bila serikali, ya kuanzia kijiji,wilaya mkoa kujua?
 
Back
Top Bottom