Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro

We mbona mjinga Sana!!..una umri gani na shule ulipita!?
 
Mwaka 1958 Chaggaland ilishapewa provisional autonomy/independence ikiwa ni juhudi za Mangi Mkuu Marealle. Kulikuwa na bunge (The Chagga Council), jeshi, baraza la mawaziri, ikulu nk. Kulikuwa na ubalozi wa Zanzibar kule Old Moshi na mengine mengi.

Hamjanielewa tu nataka kusema nini?

Hatutakubali hiyo Lithium ilete balaa kama huko Congo.

Hatutakubali watu wa K’Njaro wabaki maskini huku wakiachiwa mashimo matupu.

Hatutakubali yatokee yaliyotokea kwa kahawa. Faida kubwa ilikwenda kuendeleza kwingineko na kuwaacha wenyeji maskini.

Yapo mengi.

Watu wa K’Njaro rudini kuendeleza mkoa wenu unarudi nyuma sana. Wekezeni kwenu pia kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Tafiti zote hufanywa baada ya maombi ya leseni ya utafiti kutoka Wizara ya Madini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ila hapa tafiti imefanywa na kampuni binafsi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Umeshiba ugali, unaropoka tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 


Sasa mlima wetu Kilimanjaro kwishnei.
 
Tuige Wazimbabwe
 
Wewe ni muongo...msiwe unakariri porojo tu
 
Vijana wamesoma miaka mingi chuo UDSM shahada ya jiologia mbona? Si ndio wanafanya kazi ktk migodi na kampuni za utafiti. Wengi pia wamesomea uhandisi wa migodi (mining engineeerig) nchi mbalimbali nao wanatumika vivyo hivyo. Tuseme sasa hawa na wanaosomea chuo cha madni Dodoma watapata kazi
 
Ndugu hakuna utafiti km wa aina hiyo unafanyika bila serikali kujua. Awe mgeni (kampuni) au mwenyeji.

Hivyo kuuliza serikali haijui ni ufinyo tu wa kufikiria, ww unadhani wanaweza vipi kutembea maeneo hayo kitafiti bila serikali, ya kuanzia kijiji,wilaya mkoa kujua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…