Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro


Inawezekana upo sawa, kama tuna vijana wamesoma na wapo vizuri kwenye tafiti kwanini wamarekani ndo wafanye tafiti nakugundua hili waliloleta nasi vijana wakitanzania??
Kuna kijana yoyote wa tanzania amewai kugundua chochote huko marekani?

Inamaana serikali haiamini vijana ambao wamepata izo elimu? Ningefurahi kusikia vijana wakitanzania wamegundua haya madini maana najua nchi ndo ingefaidika.... sehemu zote za migodi ambapo kuna mali nyingi kaburu ndo wamejaa huko, sisi niwafanya kazi tu, (lini watz watafaidika na haya madini? Hili ndo swali la msingi mkuu

And the issue sio ajira tu je ni mali kiasi gani itapigwa hapo? Na tujiulize wataishia hapo kwenye hayo madini tu? Maana wapo kwenye mlima kilimanjaro
 

Sijakataa mkuu sawa serikali inajua na tunasema marekani kagundua je nini kinafuata baada ya ugunduzi?
 
Naona sasa ni kipindi cha ugunduzi wa madini ya Lithium.

Nakumbuka hivi karibuni ilikuwa Afghanistan, halafu India na sasa imekuwa Tanzania.
 
Wachaga watarudi kilimanjaro kwa speed ya radi.
Tanzania kila pahala Pana mali, shida ugunduzi tu.
Lithium ndiyo future fuel for everything, laptop battery, e-car battery, which is environment friendly, quit uses of petroleum and diesel!
N. B, TANZANIA TUMEPATA LITHIUM TUILINDE TUSIIACHIE ITOKE OVYO, WENZETU WANAYO LAKINI BADO WANATAKA YETU HATUJIULIZI TU, HAWA WATAKUWA WANAENDA KUICHIMBIA CHINI, KAMA KUHIFADHI, FUTURE INATEGEMEA SANA HII KITU.
 
Satelite picture ndio zinafanya wafike hapo kuhakiki...
 
Sioni faida ya ugunduzi wowote wa madini tanzania
 
Baada ya taarifa hii, kuna mtumishi wa tume ya madini amechora PL mlima Kilimanjaro wote Ili aje kuwauzia hiyo leseni.
Upigaji kama kawa awamu ya sita iliyopatikana bila uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…