sinaham
Member
- Mar 31, 2024
- 76
- 90
Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure.
Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa
nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije yakanikuta huko.mbeleni.
yaani ni muda sasa mimi ni mwendo wa kupiga na kutuma sms tu. Leo nimetumia muda za tangia majuzi na muda huu huu nimepokea dkk 20 tena. Vodacom mmeshanipa dkk Mia huko nyuma mb500 nakadhalika.
Jamani chondechonde msije nikuna kunako