Sahib(singida Ars,kondoa Ars)
Bulet ,
Bon city,
New Ars,
Highland
Nyuki
Kinanda
Hiv zaman majina ya mabas walikuwa wanayatoa wap maana yalikuwa ya ajabu kama ya member wa JF et Nyuki, kinanda, akamba, nk
Nasikia amebadilisha biashara. Kwa sasa anashughulika na kilimo cha kisasa, huko RukwaIla sumry sumry halipo kweli?
Ni kweli wapo mikoa ya kusini lakini nguvu yao imeshaanza kupunguzwa na baraka classic mzee wa higerMkuu Tashrif wanazidi kujitanua, wameshapiga hodi mikoa ya Kusini
Hawa jamaa wapo vizuri sana. Ofisi kuu ipo Shinyanga. Mohamed Trans alilazimishwa kufa, kutokana na malimbikizo ya madeni. Mali zake nyingi zilipigwa mnada. Na hii yote ni baada ya kuingia awamu ya TANO!Ally's karudi kwa kasi ya hatari na mabasi ya rangi ya machungwa
Mohamed Trans ilikuwa Kanda nzima ya Ziwa,kampuni hiyo nilikuwa naiamini sanaMohammed Trans sio Mwanza?
Weka sababu za huo uyopolo, au pengine nawe ni mmoja wa wahanga?Utopolo darala kwanza huu
Mzee hana vina saba na Majinja kweli?. Pia kilimo kinampatia hela ya kutosha maana wateja wake wakubwa ni TBL na Serengeti anawauzia sana Shairi.Yap mzee kaingia kwenye kilimo ana Hector za kutosha na zana za kisasa za kilimo ,za kulima hadi kuvuna .
Ile Kashi Kashi ya kutouza mahindi nje ilimsumbua kidogo maana anazalisha kwa wingi sana huko swax
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kabisa mzeee alikuwa mbahiri sana na kaacha umaskini tuh kwenye familia dugu zangu wakinga tua safar ndefu kwenye utajiri wa ndaguEnzi hizo Widambe alikuwa tajiri namba moja pale Njombe
Aligongwa na gari mnazi mmoja akiwa ameongozana na mwenye mkokoteni aliyembebea mizigo ya dukani!
Dar -masasi hakuna swahili mkuu ,swahili zinaenda Dar -kilwa masoko .Hiyo njia zilijaribu sema haziendi nowNimepata habari swahili bado ipo, wana climber makini sana masasi -_ dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Abiria kupanda lile basi ni kwa woga... binafsi sijawahi safiri na bsi la OtawaLakini bei alikuwa ameweka ndogo kuzidi wapinzani wake.
Mambo yake ya ndago mpaka madereva wakawa wanaogopa kuomba kazi.
Chief unafeli wapi? Tashriff zipo sahivi zinapiga hadi KusiniScandinavia zilikuwaga basi aisee.
Tashriff za Tanga nazo sizioni road.
Hivi Zuberi na Najmunisa bado zipo?
Hahahaha hahahaha kuna Actross zimeandikwa bijampora isije kuwa ni wao wamerudi kivingineBIJAMPOLA!wahaya hawatoisahau hii
Tashriff zipo hadi leoScandinavia zilikuwaga basi aisee.
Tashriff za Tanga nazo sizioni road.
Hivi Zuberi na Najmunisa bado zipo?
Ni Shinyanga, nje kidogo ya mji wa Shy barabara ya kwenda Mwanza.Mohammed Trans sio Mwanza?
Alikuwa na roho mbaya kama kutu, kauli mbovu kwa abiria utafikiri wasipopanda atapanda peke yake na familia yake.Sasa aliona ni ujinga kununja bas 300ml na ukalilipia kodi kubwa, bado barabaran mlogane akaamua aende kwenye kilimo kule unanunua mashine hailipiwi kodi na faida unapata kubwa.