Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

RATCO kahamisha biashara, kahamia DRC, hata mabus yote kapeleka kule.

Nacharo kachukua vijana wake,

Za chini ya carpet kuwa kaamua kuanza upya na NACHARO,

Hata mjini Nacharo anajazia mafuta kwenye petrol station iliyokuwa ya RATCO pale mkwakwani
Nilikuwa mteja sana wa RATCO.
Sana.
Kabla sijakata ticket nampigia Rajabu ananikatia.
Sasa mara ya mwisho kupanda garu ya saa 8 tukaondoka saa 11 tulikuwa robo tu na hapo baada ya abiria wa Tahmeed kuhamishiwa kwenye RATCO,kipindi kile cha lock down corona.

Hiyo ndo trip ya mwisho wakasimamisha.

Baada ya hapo Rajabu akawa ananipandisha moudy.

Then boom akarudia kukata ticket gari mota Nacharo.

Wafanyakazi wale wale wa RATCO.

Ina maana kahamisha biashara DRC kipindi cha corona???
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Umesahau BBS Songea,alikua anakimbizana na KISWELE
 
DRC alipeleka mabasi muda mrefu kule kuna unafuu wa kodi na hakuna usumbufu ukiwekeza.

Kwa njia ya Tanga-Dar hakuna gari luxury hao Ratco wanasema Luxury kwa kigezo cha mpangilio wa siti na TV.

Wiki iliyopita nimekutana nayo moja Muheza inaenda Tanga ndani abiria wachache, saizi kwa bei zake kampuni inachechemea.
 
Dah hyo kiswele mkuu umenikumbusha way back miaka ya 90's naendaga Songea, yan suka alikuwa anaweka reggae mwanzo mwisho af madude ya lucky dube tu tulikuwa tunakula na ilikuwa mwanzo wa kupenda reggae kulipoanza
 
Lutel Wedi (Dar-Mby)
Hekima (Dar-Mby)
Mndeme express (Dar-Turiani)
Chimpanzee (Moro-Malinyi)
Longela(Moro-Ifakara)
Ndenjela (Dar-Mby-Sumbawanga)
Hekima (Dar-Mbeya)
Shengena
Bambo
Kisiwa family
Kidato
Tawfiq
Air Bus
 
Nil
Iveco amenunua sabuni inatembea now.
Zilizobaki zimeoza, ziko kule busekwa kwenye yard ya sabuni

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Nilkuwa nazikubarisana gar ukiwa ndan ata usikia bonde na zilikuwa zinatembea yan unasikia tu unaambiwa umefika ujui umefika saa ngapi jamaa alikuwa kajipanga. Moja naona wanaitumia biashara united
 
Mwanzo Ottawa Alikuwa Akifanya Biashara ya Malori baada Ya Kuwa Anayanunua ya KAURU na Kuyakarabati Kubebea Mazao Kupeleka Mjini. Aling'ara. Ksha Akaibukia Katika Mabasi na Vituo vya Mafuta. Kweli Abdallah Ottawa Aliogopwa kwa Ushirikina.
Alikuwa na Dereva Machachari sana Akiitwa Massawe.
Lakini bei alikuwa ameweka ndogo kuzidi wapinzani wake.

Mambo yake ya ndago mpaka madereva wakawa wanaogopa kuomba kazi.
 
Air Bus na yeye basi zake kazipaki kuna muda huwa anaamsha Tanga-Mbeya na anaziita Mbeya City.

Kuna mlinzi wake amewahi kutuambia kuwa usiku basi zote zilizo paki usiku huwa zina amsha na abiria wanajaa ila asubuhi zinarudi tena gereji.
 
Mwanzo Ottawa Alikuwa Akifanya Biashara ya Malori baada Ya Kuwa Anayanunua ya KAURU na Kuyakarabati Kubebea Mazao Kupeleka Mjini. Aling'ara. Ksha Akaibukia Katika Mabasi na Vituo vya Mafuta. Kweli Abdallah Ottawa Aliogopwa kwa Ushirikina.
Alikuwa na Dereva Machachari sana Akiitwa Massawe.
Angepambana saizi soko la usafirishaji angekuwa mbali kaishia kupaki mabasi na malori take.
 
Back
Top Bottom