Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kuti kavu, shandallah, salmin,namgana magobore haya(dcm toyota)... dar... kongowe,mlandizi,ruvu,vigwaza,mbala,pingo,chalinze lugoba, msata, mbwewe, manga, mkata!😀 wapi kalia kitu na potenza hivi vipanya navyo vilikimbiza sana njia hiyo
 
Makete (Njombe)
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
 
Siri yako, comfort coach
Siri Yako ilikuwa Small [emoji536] ya mheshimiwa Lion of Jude (r.i.p) awamu ya Kwanza ilipopota nae akapita.
Scandinavia ilikuwa ya aliyekuwa mgombea uenyekiti kwenye saccos ya kaskazini, alikuwa halipi ushuru Wala Kodi ndo maana gari lilikuwa na uwezo wa kuondoka na abiria hata wawili dar Dom! Awamu yao ilipoisha na kampuni ikaisha.
 
Back
Top Bottom