amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Nilikuwa mteja sana wa RATCO.RATCO kahamisha biashara, kahamia DRC, hata mabus yote kapeleka kule.
Nacharo kachukua vijana wake,
Za chini ya carpet kuwa kaamua kuanza upya na NACHARO,
Hata mjini Nacharo anajazia mafuta kwenye petrol station iliyokuwa ya RATCO pale mkwakwani
Sana.
Kabla sijakata ticket nampigia Rajabu ananikatia.
Sasa mara ya mwisho kupanda garu ya saa 8 tukaondoka saa 11 tulikuwa robo tu na hapo baada ya abiria wa Tahmeed kuhamishiwa kwenye RATCO,kipindi kile cha lock down corona.
Hiyo ndo trip ya mwisho wakasimamisha.
Baada ya hapo Rajabu akawa ananipandisha moudy.
Then boom akarudia kukata ticket gari mota Nacharo.
Wafanyakazi wale wale wa RATCO.
Ina maana kahamisha biashara DRC kipindi cha corona???