Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Lupelo na matema beach umenikumbusha mbali sana

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Kuna basi moja la mtumba lilikuwa linaitwa kikondo dar-mbeya lilivunja record ya kufika saa saba na nusu mbeya stend!
Na kuna siku matema alikimbizana nalo tukalikuta pale comfort kitonga likatuacha kama dk3 jamaa alilitafuta wapi tukalikuta mbeya lishafika na abiria hata mmoja hakuna!
 
Sijui ni Mimi tu? Mbona huwa nikifikiria au kukumbukia vitu vya Zamani naona kama Zamani nchi ilikua imeendelea sana kuliko sasa?
Imagine Zamani kulikua na viwanda vingi na mabasi ktk kila kampuni na viwanda hapa Dar..... Wafanyakazi walikuwa hawapandi dala dala
Urafiki textiles
Besco
Tipper
Bima
Uhamiaji
Wazo Hill
Bora shoes
General Tyre
Chuo kikuu
Nasaco
Tanzania Breweries
Tanzania Elimu supply
Akiba
Tafico
R. T. D
UFI
Police
Jwtz
Air Tanzania,
Sukita
Sungura textiles
Tanzania Railway
Tanganyika Packers
Muhimbili... Na wizara zote pamoja na taasisi
 
Shabaha ndio Kilimanjaro Bus
Ngorika ndio Kaprikoni
Bufallo ndio Happy Nation
Akamba imenunuliwa na Modern Coach
Mohamedi Trans ndio Scorpion bus
Tahmeed imekombine Yale matawfiq, taqwa nk nk
Ngorika ametawanyika sasa kuna Mberesero na Kaprikon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…