Mgwila junior
Senior Member
- Jul 31, 2016
- 104
- 73
Nilikua namrekebisha yeye alisema mbeyaSongea ni makao makuu ya mkoa wa Ruvuma. So mdau yuko sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua namrekebisha yeye alisema mbeyaSongea ni makao makuu ya mkoa wa Ruvuma. So mdau yuko sahihi
Saibaba bado iposai baba, bufaroo
Matusi ya nini?kama zakaria atakuwa bado ni mshindani na mbabe kama ilivyokuwa miaka ninayoijua mimi,basi ntakuwa naandikia kwenye tundu la nyuma yako.
ShinyangaMohammed Trans sio Mwanza?
Tashreef yupo ameongeza ruti za kusini, Tanga, Dar.Ana basi za Scania Gemilong, Zhongtong na Yutong.Scandinavia zilikuwaga basi aisee.
Tashriff za Tanga nazo sizioni road.
Hivi Zuberi na Najmunisa bado zipo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Lakini bei alikuwa ameweka ndogo kuzidi wapinzani wake.
Mambo yake ya ndago mpaka madereva wakawa wanaogopa kuomba kazi.
Umenikumbusha bembea ya dar-tanga, inaondoka saa 10 jioni ubungo ndani kuna vigoda vya kutosha muda wa kufika haufahamiki ni saa ngapikwa tanga
bembea
sadis
zafanana
morogoro
makundi
sharuksi
kusini
born cost
amwenye
akida
Ongeza na DMT,Ndomana nikataka michango ya wahenga kama wewe 😎
Habari ya DIUOngeza na DMT,
Gulam bus service msh-sgd
SHAALI sgd-dsm
Eli-Abry sgd-dsm
USAI sgd-dom
Morning star sgd-dom
Sahibu sgd-arusha
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Kuna basi moja la mtumba lilikuwa linaitwa kikondo dar-mbeya lilivunja record ya kufika saa saba na nusu mbeya stend!Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
mwaka gani mkuu hebu nipe proximation ya speed maada Dar-Mbeya ni kama 830 kmKuna basi moja la mtumba lilikuwa linaitwa kikondo dar-mbeya lilivunja record ya kufika saa saba na nusu mbeya stend!
Mkuu kwa km 750mwaka gani mkuu hebu nipe proximation ya speed maada Dar-Mbeya ni kama 750+km
Kumbe inawezekana maana mimi nshawahi kusafiri na Rav4 kill time nlitoka Dar (Mbezi) saa3 usiku saa 11 nipo MwanjelwaMkuu kwa km 750
Hapo velocity ni 100km per hr
Itakuwa enzi za kina giriki na wenzie
Driving distance from Dar es Salaam to Mbeya is 830 kilometers (515 miles).Mkuu kwa km 750
Hapo velocity ni 100km per hr
Itakuwa enzi za kina giriki na wenzie