Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Tash
Scandinavia zilikuwaga basi aisee.
Tashriff za Tanga nazo sizioni road.

Hivi Zuberi na Najmunisa bado zipo?
Tashreef yupo ameongeza ruti za kusini, Tanga, Dar.Ana basi za Scania Gemilong, Zhongtong na Yutong.

Najmunisa yupo anapiga ruti za Bunda- Dar (kupitia Bariadi) mabasi yake mengi ni Scania bodi za Dar coach na Marcopolo.

Zuberi yupo ndio mbabe wa njia ya Mwanza-Dar. Gari zake nyingine anaziita Kisesa.Pia anapiga ruti za Mwanza-Musoma. Ana Zhongtong, Higher-Tanzanite na Scania Andare ( Huwa anabadilisha badilisha)
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua


Sumry aliuza Magari yote akahamia kwenye kilimo.
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Kuna basi moja la mtumba lilikuwa linaitwa kikondo dar-mbeya lilivunja record ya kufika saa saba na nusu mbeya stend!
 
Kuna basi moja la mtumba lilikuwa linaitwa kikondo dar-mbeya lilivunja record ya kufika saa saba na nusu mbeya stend!
mwaka gani mkuu hebu nipe proximation ya speed maada Dar-Mbeya ni kama 830 km
 
Back
Top Bottom